Naombeni msaada kwa anayejua ni lini TANROADS DODOMA waliita watu interview. Kuna mtu kauliza hapa JF na akaambiwa na mdau mmoja kuwa interview tayari. Kwa mwenye taarifa ya uhakika juu ya...
jaman wana jamvi naomba kuuliza kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu oral interview ya udom wameshaitwa kwa wale tuliofanya written interview tarehe 17/11?
Natafuta kazi ya udereva,Naendesha pikipiki,bajaj na magari yote isipokuwa gari za abiria kwa mujibu wa leseni yangu.Ninauzoefu wakutosha.
Tumia anwani hizi kuwasiliana na mimi,
+255719080875...
Mimi gishuli, benard washingtone wa halmashauri ya tunduru ninatafuta afisa mifugo wa kubadilishana naye toka mikoa ya shinyanga,geita,simiyu, mwanza na tabora hususani wilaya ya nzega na igunga...
Tunatoa shukrani zetu kwa niaba ya uongozi na bodi ya shule pia kamati,
kwa kupata walimu 5 wapya kutoka jamii forum na wapo kwa ajili ya mazungumzo maalumu.
Natangaza nafasi za ualimu katika shule ya Queens' Academy iliyopo Ukonga Sitakishari. Shule hii kwa miaka miwili mfululizo imepasisha watoto wote na imepewa cheti cha ushindi. Wale wenye uwezo na...
LIFE AFTER UNIVERSITY THINKERS, tunawakaribisha VIJANA WOTE WASOMI KWENYE KIKAO KITAKACHOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 2/2/2013. SAA 3:30PM MPAKA SAA 6:00PM, soweto garden...
Political...! Political....! Political...! Everywhere is political...! Now adays, political is everything...! Let us wait because walishasema kwamba ajira mpya za ualimu zitatoka mwezi JANUARY...
Salamu wakuu.
Nimepata dokezo mlima k'njaro ni chanzo kikubwa cha ajira. Wapanda mlima wengi inasemekana life standard yao iko pouwa sana,nadhani vijana hatuna budi kujongea huko kwa ajili ya ku...
jf,mimi ni binti nimemaliza certificate ya education niko mkoani mwanza,natafuta kazi kwenye shule yoyote nursery au primary iliyoko mwanza,niko competent ktk somo la english,history na...
jamani jamani huyu rachel atafutwe kwa udi na uvumba, nimepokea text yake sasa hivi kanitumia,nayo inasomeka kama ifuatavyo
"Habari, naitwa Rachel From Palmeras Apartments Dar. Nipo kikaoni...
Msichana mwenye ujuzi wa kutosha katika kutumia Computer anatakiwa,.... hakuna elimu zaidi ya kujua Computer .. anayeishi DSM maeneo ya Ubungo, External, Mabibo, mwenge atafikiriwa zaidi .. mwenye...
Kampuni ya New Habari (2006) LTD inatangaza nafasi moja ya muandishi wa habari.
SIFA;
1) Awe mkazi wa mkoa wa Mtwara au maeneo ya jirani
2) Umri kuanzia miaka 24 hadi 40
3) Awe amesoma chuo...
SUMAITA COMPANY LIMITED is currently looking a highly motivated and experienced person in marketing and sales officer. the company deals with real estate issues, survey and valuations. interested...
Mara nyingi watu huchukuliwa na kupewa mafunzo ya kuwa Mfanyakazi wa Kampuni ya Tigo km wakala wa Tigorusha n.k ni kwa vp mtu anapata nafasi hiyo? Help me.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.