Greetings from True RoadTechnologies Limited!------A One stop CAREER & PERSONAL Development Centre
True Road Technologies Limited is a career and personally development company with office at...
Naomba msaada kwa yeyeto mwenye habar kuhusu serenget brew,mwanza kwan kuna watu tulifanya interview department ya stores and engineering tuliopita tukapewa stakabadh zote mpaka medical checkup...
wiki iliyopita kuna kampuni ilipost kazi za Research Assistant kupitia Zoom inaitwa Centre for Environment Protection.Jana saa tano usiku nikatumiwa meseji hii
Habari,naitwa rachel frm Centre for...
Anatakiwa mfanyakazi wa saloon ya kike,awe na uzoefu wa kutosha wa kazi zote za salon.saluni ipo maeneo ya kishiri mwanza kwa maelezo zaidi nipm namba yako ya simu
Anatakiwa mhasibu wa kike mwenye certifiketi ya (ACCOUNT)na Sio mwenye Diploma au zaidi.
Tuma CV Pakee kwenda sirachem@yahoo.com ni vizuri akiwa mwenyeji wa Arusha
qualifications
1. Ajue wajibu wake kazini
2. Awe very smart
3. Awe anauwezo wa kuandika na kusoma
4. Awe tayari kuvaa sare
5. Awe mcheshi kwa wateja
6. Awe amezoea kuvaaa viatu virefu
7...
wanajamvi habari zenu? Napenda kuuliza nafasi za jesh zinatoka lin? Au mwenyetaarifa zozote kulihusu maana mi nina bachelor na napenda kujiunga na jesh niwe mkakamavu, natangulza shukran za dhat...
mimi nina diploma pia ni graduate wa statistics at udsm. Nina uzoefu na kazi hizi za data analysis and management. Pia nina uzoefu wa monitoring and evaluation of projects. Kwang mm kuvoluntia au...
ninaliza form 6 next month xo natafta kaz yeyote ya kufanya nkiwa na wait 4 ma results..mpka hapo ntakapoenda chuo januar next year kama ipo 0656404721.
jamani wana jf,mimi nimsichana,memaliza chuo mwaka juzi,nimetafta ajira sijapata,naomba wenye uwezo mnipe mkopo nijiajiri,nina plan ya kufanya biashara ya chakula yani kupika.
nahtaji mtaji wa...
Jamani nadhani kila mmoja anaona jinsi hali ya ajira ilivyo ngumu hapa nchini Tz,vijana wengi wamemaliza chuo lakini hawana wanalolifanya zaidi ni kuzurura ovyo mitaani na kulala mpaka saa saba...
Habarini humu, kuna rafiki yangu alifanya interview na erolink ya nbc customer care alianza na written na akamalizia na oral alifanya mwezi wa kumi na mbili mwanzoni zen wakamwambia watampigia...
habari wana JF, Kuna nyumba kubwa inapangishwa maeneo ya survei, ni kama dakika tatu toka mlimani City. nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja kati ya hivyo ni master, sebule kubwa...
Wireless and Mobile Communication System Scholarships in Korea
Food & Beverage Manager at Nairobi club
Chief Accountant at Nairobi club
Accounts Manager at Aga Khan Education Service...
Wanabodi,
Niliahidi kuleta nafasi za kazi humu kadri zinavyotokea kwenye kampuni zetu:
Tunahitaji mhasibu mwenye sifa zifuatazo:
1. Degree in ACCOUNTING na CPA
2. Kwenye degree awe amepata GPA...
A new and upcoming company in agriculture is looking for qualified business consultants in the sector. The consultants will help the company in setting up of the management structure and how the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.