Habari wana jf nahitaji dereva mzuri na mzoefu wa kuendesha pikipiki (bodaboda) aina sunlg kwa kufanya nae biashara hiyo ya ambaye ni kijana mdogo mccheshi, mwenye kuvutia wateja, mkarimu...
kuna Bro Wangu Hapa Hom Ana kadigrii Kake
Kutokana Na Uhaba Wa Ajira Akawa Amejishikiza Ktk Kampun Moja Hapa Mjini(boss Muhindi)
Yaani Wanamovertime Bila Malupulupu Yoyote, Inatakiwa Aingie...
habari wana jf samahani mwenyewe kujua kiwango cha mshahara wa ngazi hii ya PHTSS 4 mpaka 7 ni kiasi gani naomba kujulishwa mwenye kuelewa hicho kiwango
kwa taarifa za uhakika ambazo hazina chenga, ukweli ni kwamba kuna uhaba mkubwa wa madereva Serikalini. wengi wao wamekosa sifa za kuingilia ktk utumishi wa UMMA yaani kuwa na cheti cha kidato cha...
Ndugu zangu, natafuta zile wheel cover, nataka kutangaza biashara yangu ambaye ana kampuni yake inayoziprint au kutengeneza aniambie nataka moja kwanza niichek then bei ikiwa nzuri tutaongea...
1
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENTS OFFICE
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref. Na EA.7/96/01/D/07 21st January, 2013
VACANCIES ANNOUNCEMENT
The Public Service Recruitment...
Job Vacancy for Associate Client Partner at Franklin Covey
Essential Job Functions:
1. Serves as key initiator of new business development to target medium and large sized accounts for long...
mimi ni graduate natafuta kaz yeyote kwa level yangu ya elimu iwe part time,temporaly au parmanent nimesoma social science nimeshawah kufanya kaz ya cashier na customer care kaz yeyote naweza...
Natafuta sehemu ya kufanyia field kwa vitu vifuatavyo..
-Database administrator
-System/web design and implimentation using php & html na kwa kutumia joomla cms.
-System administrator
-computer...
Habari, mimi ni mwanafunzi wa ustawi wa jamii. Nilituma maombi ya kujiunga na exchange progamme mwaka jana iliyochini ya Tanzania Youth Coalition(TYC). Hapo jana majira ya saa8 mchana nikapigiwa...
Wakuu wana JF,
Nina mpango wa kupiga chini hii job ninayoifanya maana naona inanilostisha na haina maslahi wala future kwangu.
Nataka nitumie ile njia ya kupiga chini job by giving a notice...
habari wana JF, Kuna nyumba kubwa inapangishwa maeneo ya survei, ni kama dakika tatu toka mlimani City. nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja kati ya hivyo ni master, sebule kubwa...
NAFASI YA KAZI: HOUSE KEEPING
Mahali: Dodoma Mjini
Sifa: Awe na uwezo wa kupika (chef),
Awe na uwezo wa kuongea lugha ya kiingereza.
NB: Nafasi ya upendeleo kwa yule...
Jaman wana jf: nina sister angu ana certificate ya hotel management. Hivyo anatafuta ajira mwenye kujua wapi anaweza pata awasiliane nae . 0717 029568
Email: ruthjosekade@gmail.com.
Ndugu wanajamvi
mimi nemeachishwa kazi baada ya kamuni yetu kufunga virago hapa Tanzania. naomba mtu anisaidie jinsi ya ku calculate fedha za usafiri kurudi mahali nilipokuwa kabla ya ajira. je...
Habari zenu wana JF natumai mko poa sana.....................
Ombi langu ni kwamba naombeni msaada wa kujua interview za tanroads zinakuwaje je zinakuwa za oral au written ...... Tafadhalinni...
Wadau vp,
Nafasi zilizotangazwa za TANROADS mbona Morogoro ndiyo wameishaita kwa ajili ya usahili, hawa jamaa wengine wa Dodoma, Lindi, Mtwara, n.k mbona kimya?
Tupasheni kama kuna mdau ana habari...
Usaili umefanyika toka mwaka jana mwezi wa kumi tarehe 5 mbona kimya hadi leo au ndio siasa? Manake kada zingine zote washaitwa kazini tena hata waliofanya usaili mwaka huu wameitwa kazini wenye...
hadi kufikia sasa taarifa zilizofikia vow zinasema tra wametuma email ya kuwaita watu kwenye interview itakayofanyika tarehe 04/02/13 msimbazi centre. Taarifa nilizopata ni kwa wale walioapply...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.