Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM VACANCIES The University of Dar es Salaam invites applications from suitably qualified Tanzanians to be considered for immediate employment to fill the following...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
habari,mm ni dereva kijana mwenye elimu ya kidato cha nne na nna lesen ya daraja E nahitaji kazi ya udereva popote pale Dar
0 Reactions
2 Replies
2K Views
(i) Candidates should indicate the permit reference number i.e. (BC.10/87/01/E/73) in their letters inamaana gani,yeyote anaefaham!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
sasa we binti unatafuta kazi tunakuambia kazi za ndani unakataa wakati unasema kazi yeyote? be serious mbona mmi nilivomaliza form four 2002 nilikosa ada ya kuendelea kutokana na hali ya family...
11 Reactions
29 Replies
4K Views
Tunahitaji watu kwa ajili ya post ya Sales Executive, English and Internet must know. Form Four and College leavers can also apply. Send you CV to munir@darugar.net
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Hello JamiiForums. i'm new registered user of JamiiForums. I would like to ask about employment oppotunity in TRA. when will them provide employment to new applicants in year 2013?.
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Hello Guys, We are looking for a well knowledgeable person in the IT industry to help with proposal writing for various project themes including Networking, Custom Software Development, Website...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimepata kazi mwanza, kama accountant, ndo kwanza wanaanza business, tatizo ni salary, wanatoa 500,000 kama take home. imenivunja nguvu, niko njia panda, kwenda au kutokwenda.... msaada.
0 Reactions
85 Replies
7K Views
Habari zenu wadau, Ninaomba mtu mwenye taarifa ya sehemu wanapohitaji mwalimu wa Kifaransa anifahamishe.Nina shahada ya Elimu na uzoefu wa miaka 5.Niko tayari kufundisha part time katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau habari za jumatatu. Tumeunda kikundi na tunafanya kazi za kutafsiri. Editing, proof reading na writting. Pia tunafanya kazi online kwa kutoa huduma hiyo. Yeyote anayefanya kazi kama hii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TUNA NAFASI YA KAZI, TUNAHITAJI SECRETARY KWA HARAKA, MWENYE DIPLOMA YA SECRETARY AU MWENYE CHETI CHA SECRETARY AMBAYE AMEHITIMU KIDATO CHA SITA PIA MWENYE UWEZO WA TYPING AND POSTING FASTER...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mie ni kijana wa kitanzania nina MSC ya IT pia Nimepiga BE in Electronics yoyote mwenye uwezo wa kunisaidia kazi au anayependa tufanye naye kazi nipo tayari hata kama ni kufundisha .Plzz naomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina certificate ya secretarial course,nina ujuzi wa ms word,excel,data base na typing.nina uzoefu wa kutosha,niko tayari kufanya kazi kokote tanzania.wadau nisaidieni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam wana JF, Kwa kuzingatia kuwa jukwaa hili ni moja ya majukwaa ambayo kila kitu kinawezekana, ombi langu nahitaji mtu yoyote ambaye anaweza kubuni energy cooking stove na hasa stove(jiko)...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
What up jf member! Kwa wale walohudhuria written intervew ya NEMC,pamoja na agency nyingine,may you please tell us the results? Sababu oral intervew inafanyika tar 21.01.2013
0 Reactions
2 Replies
2K Views
walisema leo watatokea matokeo kwa ajil ya oral but mpaka now hamna kitu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo tarehe 19 January 2013 nilitakiwa kuhudhuria mtihani wa kwanza wa mchujo utumishi, ila nimeshindwa kuhudhuria, je ninaweza kukubaliwa kufanya Usaili wa mahojiano ambao ni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni shule ya hadhi ilioko mkoani KAGERA. Shule inadhaminiwa na wafadhili kutoka MAREKANI chicago. Shule ina kidato cha kwanza mpaka sita.shule hii ina wanafunzi wapatao 560 . Ina itaji walimu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
MIMI NINA DIGRII YA SAYANSI YA MAABARA NA BIOTEKNOLOJIA (BSc. In BIOTECHNOLOGY AND LABORATORY SCIENCE), NIMEHITIMU SUA 2009-2012. PIA NAJISHUGHURISHA NA BIASHARA YA KUUZA VIFAA VYA MAABARA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mwalimu wa masomo ya science (BSc Education chem and biology) mwenye uzoefu wa miaka mitano...Natafuta kazi kwenye shule ya Private yenye kulipa vizuri...............! please ni PM kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom