Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
XP-SALES MARKETING S L P 5752 DAR. KAMPUNI INAPOKEA VIJANA JINSIA ZOTE kwa ajira ya muda au kudumu. Sifa: miaka 18-30 Uwe tayari kufanya kazi dar. Elimu kuanzia form four Nk...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
''wana jf napenda kufahamu kama waliofanya interview na kuchaguliwa na baadhi walipigiwa simu na kuambiwa tarehe 3/12/2012 wanatakiwa kuanza training na ilisitishwa kwa muda na taarifa kutoka...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
suzuki Omni/ Mazda, iwe kwenye hali nzuri kabisa. kama unayo tuwasiliane kwa namba: 0712175656; jamesinnocent89@yahoo.com
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za sasa wana jamvi!? Mimi niko kinondoni Dar es salaam, nasoma katika chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT) course ya logistics and transport management (bachelor degree). Natanguliza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jamani naomba sana mjitahidi kutengeneza network,mimi nimeanza hilo toka niko chuo na network niliyonayo kwa sasa imenifanya nijiajiri na natengeneza kipato kikubwa sana ningali bado sijaajiriwa
0 Reactions
6 Replies
2K Views
poleni na mihangaiko ya sikukuu,hapa nilipo nina tatizo amabalo linanishinda kutoa maamuzi maana ni la muhimu katika maisha mwezi wa sita nilipomaliza chuo nilitafutiwa kazi katika kqmpuni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wasalaam JF! Napenda kuuliza jamani hawa Barrick utaratibu wao ukoje wa kuajiri maana mimi nilifanya vetting na consultant wa kampuni hii huko Masaki kitambo kidogo sasa ni miezi nane bila hata...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Habari zenu wana JF! Kuna dada flani (shemeji yangu) anategemea kupata mkopo wa 120m (around 80000 usd) toka benki flani nchini! but still yupo stranded hana idea ya moja kwa moja afanye...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wana jf, hv ni halali kwa mtu mwenye bachelor ya ualimu na ambaye anataka kujenga C.V kufundisha hizi shule za msingi za kiingereza maarufu kama medium primary schools?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
​Wana jf,hv ni halali kwa mwenye bachelor ya ualimu na anayetaka kujenga C.V kufundisha hizi shule za msingi za kiingereza maarufu kama medium primary schools.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mi Nakipaji Cha Uigizaji Na Utangazaji(presenter) Naomba Kujua Nifanyaje Ili Nifanikiwe Kutoka Ktk Uigizaji Mi Nipo Geita
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada kwa mwenye tetesi kuhusu ajira za UDOM hasa kwa tuliofanya written interview tarehe 17/11/2012 zitaanza lini na nini kinaendelea atujuze, maana wa Administrative posts...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Anatakiwa mhudumu kwa ajili ya kumhudumia bibi mzee-hajiwezi,kazi kubwa ni kumpikia na kumuosha.Anayetakiwa ni mhudumu wa kike,umri kati ya 18-35,kabila yoyote,kazi iko DAR.,kula na kulala...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Zasaizi jaman mimi ni kijana wa umri wa miaka 21 nahishi kinondoni taaluma yangu ni maswala ya HOTEL. Nina uzoefu wa mwaka mmoja na nili waihi kufanya kazi JaNGWAN SEA BREEZ,SLEEP WAY na sasa npo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vijana wawili wanahitajika kazi ya data entry mvulana na mschana wasio na majukumu coz salary ni 250000 take home,sifa nyingine wawe wanakaa mbagala au kurasini coz office ziko shimo la udongo...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari wanabodi. Nahitaji mtu ambaye atanisaidia upimaji wa viwanja vyangu viwili mpaka hatua ya kupata hati miliki “title deed”. Kiwanja cha kwanza kipo Bunju Beach, DSM, kina nyumba na nilikuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hello wana JF. Habari: Nahitaji kujua kwa wale ambao walifanya written interview ya administrative posts za UDOM tar 17 November 2012; vipi kuna yeyote ambaye kashaitwa kwa ajili ya Oral...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau kuna tetesi kuwa ajira mpya za walimu zitatoka Januari 2013, lakini wanaoongea zaidi ni viongozi wa CCM lakini mimi nina mashaka sana na hawa jamaa maanake mengi wanayoyatamka katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nina elimu hadi ya kidato cha sita...nina uwezo wa kufundisha masomo ya sayansi lakini..ninahitaji mwisho kidato cha pili...mahali popote naweza fundisha ata ikiwa nyumbani kwa mwanafunz...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
25 Gold, Diamond and Copper Primary Mining License (PML's) for sale: Coordinates: contact us Location: Iramba-Singida for Gold and Diamond PMLs and Chunya -Mbeya for Copper PMLs Price...
1 Reactions
0 Replies
910 Views
Back
Top Bottom