Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Nawatakia wote kila lakheri mwaka wote tupate kazi na tuzifanye kwa bidii kujenga taifa letu na familia zetu mungu tusaidie
0 Reactions
7 Replies
1K Views
jamani hebu tuwekane wazi kweli haki ipo interview za tanroad? au ndo mwenye kamulete anaweza kupata?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Aisee ndugu zangu xaxa mambo yamekuwa tyt na umri huu wa miaka 22 najihc kama mzee kulingana na hali ya sasa kama kuna nafasi za kazi kwnye hzo sector tusaidiane kukaa mtaani ni miyeyesho me najua...
1 Reactions
20 Replies
8K Views
World Vision Tanzania is Hiring Organizational Development& Training Specialist with the following specifications below; Position: Organizational Development& Training Specialist: Location...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sifa za mwombaji: Awe mkazi wa morogoro Awe amemaliza kidato cha IV au VI na kuhitimu mafunzo ya compyuta Awe na UWEZO wa kudesign kadi Awe na uwezo wa kutumia photocopy machine Masharti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepigiwa simu na hawa jamaa wanaitwa Supra Resources, wanasema wapo karibu na Best Bites restaurant kwa ajili ya job interview. Wadau kuna mtu anawafahamu hawa jamaa. Nahitaji information...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natanguliza salamu wana jf hali ya maisha imenifanya kuomb msaada hapa nina elimu ya wastani naomba kazi popote tanzania kaz yoyote dukani, ofisini jaman msaada stress zimeanza nimekaa nyumban...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuliko Kuwa Vijiweni na Kujiingiza ktk mambo yasiyofaa ktk jamii Jamani kama kuna kazi yoyote iliyo Harali ktk jamii, Tafadhari Naombeni Nafasi Nipo Dar, Ni kijana mwenye elimu ya form 4 (nina...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
TRUE ROAD TECHNOLOGIES Limited is a Tanzanian leading career and personal development company established in November 2012 to spearhead personal and career development programs in Tanzania. It...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wadau. Haya nipeni madesa ya maswali ya intavyuu. Meitwa Lindi tar 10 jan.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
ndugu wana JF, Kuna wachina wasiojua kiingereza na wanahitaji kupanda mlima Kilimanjaro mwezi wa sita na wa saba. Nahitaji kama kuna mtu anayejua kichina kidogo tu, aliyeko Tanzania ili kuwapa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
natanguliza salamu zangu wadau ... mim ni graduate kusema kweli after kumaliza chuo nimekuwa nkijitahid sana kuaply kaz zingne online zingne mguu kwa mguu mpaka ofsin lakin cjabahatika kupata...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Requirements: a) Holder of a first Degree or equivalent qualification in Social Science, Business, Accountingor any other related field from a recognized university. b) At least five (5) years...
3 Reactions
22 Replies
8K Views
Wana JF wenzangu!ni tumaini langu kubwa kabisa ya kwamba,wote tupo aware na tatizo hili kubwa kabisa la ukosefu wa ajira.vijana ni waathirika wakubwa kabisa katika nyanja hii kias cha kutishia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimepigiwa simu TANROADS MWANZA kwa interview next week, position ya Shift-in-charge, hii ndo interview yangu ya kwanza kufanya tangu nimalize chuo, naombeni mnipe mwanga inakuaje na ni base...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
jamani wanajamii wenzangu kazi tutafute ila tujipange na majungu ya humo ofisini,mtu akitoka kidogo anaanza kupigwa vijembe,alafu wewe mgeni unafikilia mmh na mimi nikitoka kumbe ndio...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
hi
hopes mko wazima wadau, kuna updates zozote juu ya advans bank kuita watu for training? thanks.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kutuma CV kwenye makampuni na mashirika kibao hapa Tanzania bila kuona mafanikio yoyote, sasa naamua kuuanza mwaka door to door programme, nikiwa na maanisha nataka kuandika barua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau naombeni mnijuze kuhusu mishahara ya hawa pepsi kwa nafasi za MARKET DEVELOPMENT ACCOUNTS,CASHIER NA ACCOUNTANT. Regards
1 Reactions
9 Replies
3K Views
HESHIMA KWENU WANA JF. Tafadhali naomba msaada wenu, nina ndugu yangu ameajiriwa serikalini kama mwalimu wa sekondari kwa miaka zaidi ya mitatu na sasa amepata nafasi ya kufundisha chuo kikuu...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom