Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Naomba mchangn wa mawazo ili nimshauri ndugu yangu. Yeye ni mwalimu ameajiriwa na serikali, alifanya mpango akaenda kusomea shahada ya (CED) maendeleo ya jamii na uchumi amemaliza 2011. ametafuta...
0 Reactions
2 Replies
948 Views
Wapendwa,natafuta kazi ya library,nina diploma ya library and information science.Yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MM Research&consultancy company ni kampuni ambayo inafanya tafiti mbalimbali hapa Tanzania,ina wafanyakazi waliobobea katika tafiti.Tunakaribisha makampuni mbalimbali pamoja na taasisi zote ndani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Post zilikuwa nyigi kama Reseach Associate, Project Assistant, Field officer n.k..Vp kuna mdau yoyote kabahatika..Tujuzane mazee.. Cheers
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nipo napambana na utafutaji wa kazi si unajua tena maisha kila siku ni mchakamchaka. Nimekutana na kazi kwenye gazeti na naona inanifaa sana. Mode of application ya kazi imekaa kama ifuatavo To...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
KAMPUNI INAHITAJI CIVIL ENGINEER KWA KAZI YA MWAKA MMOJA, NA PIA ATAFANYA NA CONSULTING FIRM, KAMA UPO TAYARI AU UNAMJUA NITUMIE CV faabroz@gmail.com au faabroz@yahoo.com deadline tar 7/january/2013
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeajiriwa kwa diploma serikalini kama mwalimu.nimemaliza degree ya kwanza ya elimu.nikipata ajira mpya napaswa kufanya nn ili niende ajira mpya ila nisianze upya utumishi?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
jamani napenda sana kuwa kazi ya usalama wa taifa.lakini sijui nifanyaje?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ref No WVT/P&C/F13/12 Job Title: Education Manager Reports to: Zonal Manager , Eastern Zone Location: Tanga Purpose of the position: Provide leadership to the management of the project and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nna BA.POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION, kwa ufasaha naweza fundisha CIVICS,HISTORY,GS,ENGLISH,GEOGRAPHY tukikubaliana salary npo tayari kujaza mkataba,zaidi niite kwenye...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Nahitaji chumba cha kupanga ubungo garama iwe 30,000 maji yawe karibu contact 0712859430.
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna mdau anazifahamu vizuri hizi kampuni, zinajihusisha na nini zaidi..Cheers heri ya mwaka mpya kwa wadau wote uwe mwaka wako wa mafanikio..2013
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kujua kama utumishi wametoa shortlist ya nemc na kama ndiyo msaada wa majina na tarehe gani interview. niliomba mei 2012
0 Reactions
8 Replies
2K Views
JOB ADVERT Community Initiative Officer Background : In line with the mission of Omasi, the Social Department plays a critical role in creating viable, locally owned enterprises producing...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF, Ni lini tutaondokana na hali hii ngumu ya upatikanaji wa ajira? Kwa wale wasio na ajira kama mimi nawashauri kuwa makini sana na baadhi ya matangazo ya kazi yanayowekwa mitandaoni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna wadau hapa amba wamesomea fani tajwa... nimeiona mahali nikaona ni vema niirushe jukwaani waichangamkie Kazi kwenu wadau..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu nimetonywa na mtu wa karibu kuwa wanaupload majina ya interviewee wa school of life science hivyo mlioomba mkae tayari kwenda muda c mrefu itaachia mcheki wenyewe
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jamani wadau naomba msaada wenu wa kupata tangazo la kazi lililototewa na chuo cha usimamizi wa mahakama lushoto tanga.
0 Reactions
10 Replies
7K Views
New job listings on https://careers.un.org/lbw/home.aspx?viewtype=SJ&vacancy=All UNDP Jobs United Nations Foundation - Careers Goodluck and all the best
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa habari zenu. Mimi nna shahada ya uhasibu,natafuta kazi yoyote mkoa wowote,ila isiwe tu ya kunidhalilisha.shukrani sana.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom