Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Umri wangu ni miaka 31,jinsia me..natafuta kazi yoyote halali hapa dodoma. Elimu yangu ni kidato cha sita ila pia nina uzoefu basic wa...
4 Reactions
9 Replies
739 Views
Natafuta kazi yoyote ile.Nimesoma bachelor of business administration (Accounting) nimehitimu 2018 lakin tangia nimemaliza chuo nilikua nikufundisha o -level masomo ya basic mathematics na...
4 Reactions
8 Replies
681 Views
Mwenye ujuzi ni namna gani naweza kutengeneza portfolio kwa ajili ya kuonesha kazi nilizofanya. Naomba anisaidie maana sifahamu wapi nianzie.
1 Reactions
9 Replies
960 Views
Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka? #rushamchongo
1 Reactions
3 Replies
536 Views
Wakuu, habarini, Naomba kupata elimu kidogo naamini humu wataalamu wapo. Je, mtumishi wa umma aliyepewa ruhusa ya kwenda masomoni (mafunzo ya muda mfupi yasiyo zidi mwaka) anaweza kuomba...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wanajukwaa, kuna kijana anahitaji kazi katika maduka ya jumla jumla yanayouza kati ya vitu vifuatavyo 1)Vifaa vya umeme 2)Machines mbali mbali. Anapatikana Dar. Elimu yake ni kidato...
0 Reactions
2 Replies
348 Views
UPDATE: INTAKE MPYA 2024 INAENDELEA MWISHO NI TAREHE 10 JANUARY 2024. Mabadiliko ya Vigezo vya elimu isomeke; “Elimu ya darasa la saba na kuendelea mpaka chuokikuu. Kwa mwombaji wa darasa la...
2 Reactions
157 Replies
56K Views
Pdf hio hapo, yaani US secrete services kazi zinatangazwa live, na watu wana apply. Tiss igeni huu mfano.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
JUMA PAUL MATHIAS, S.L.P 289, TEMEKE, DAR-ES-SALAAM. 30.8.2022. MKUU WA WILAYA, S.L.P .... , TEMEKE. K.K MTENDAJI WA KATA, KATA YA......, SL.P ....., TEMEKE-DAR ES SALAAM. K.K MWENYEKITI WA MTAA...
7 Reactions
14 Replies
43K Views
Mwenda bure si mkaa bure, huenda akaokota. Pamoja na udhaifu/ulemavu wangu sijakata tamaa kurusha ndoano kila ninapopata/kukutana na fursa yenye harufu ya mkate wa kila siku kwani nina imani...
11 Reactions
53 Replies
7K Views
Habari wakuu hongereni kwa mwaka mpya. Nikienda moja kwa moja kwenye mada. Mimi natafuta kazi yoyote ila nina uzoefu wa miaka 2 laboratory technician pia quality control pia nina uzoefu wa...
1 Reactions
4 Replies
595 Views
Naufufua huu uzi! Nahitaji watu 7 kwa ajili ya kazi ya kutafsiri kutoka kiswahili kwenda kingereza. Naomba unitumie email yako kwa sms hapa. Nitakuemail maelezo mengine! mwisho wa kinitumia PM ni...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Natafuta kuwa winga wa simu mpya, kama unamiliki duka la kuuza simu mpya aina zote naomba kazi dukani kwako. Sitaki uniajiri, ila utaniuzia simu kwa bei ya jumla ili na mimi nipate chochote...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Jaman jaman huku mufindi mashamba ya chai kugumu alikuambe mtu, hivi nimewaza adi nipate kilo 20 kwa wepes wa majani haya no kwa kweli narudi maskani, huu uuaji.
25 Reactions
143 Replies
9K Views
Hello wapendwa,Mimi ni binti Nina miaka 26 Ninaishi Dar es salaam Natafuta kazi/Nahitaji kazi yeyote ambayo HAIVUNJI SHERIA ZA MUNGU na HAIVUNJI SHERIA ZA NCHI Nina certificate ya (Medical...
0 Reactions
2 Replies
517 Views
Hello ndugu zangu kwa wale walioitwa kwenye usahili halmashauri ya mkuranga tupeane moja mbili tatu ndugu zangu..,mimi nipo Arusha nitafika huko soon Sent from my SM-G781U1 using JamiiForums...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Mfanyakazi wa kuuza duka la vyakula na vitu vingine anahitajika. MAJUKUMU Atauza vitu vya dukani na kutunza kumbukumbu zote za mauzo. Atasafisha eneo lake la kazi kila siku JINSIA: Awe...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Salary rate ya FCC inakuwa vipi? Kuna rate zao FCCGSS from 4 to 12 inakuwa inahesabika vipi? Asanteni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ZINGATIA MAMBO YAFUATAYO!!! 1. Jenga nyumba mapema. Iwe mjini au kijijini . Kujenga katika umri wa 50 sio mafanikio. Usizoee majengo ya serikali. This comfort is so dangerous. Wape nafasi watoto...
18 Reactions
20 Replies
2K Views
Position: Business Development Officers (2 Posts) A Petrol Station located in Vikindu, Mkuranga, is currently looking for 2 business development officers. The candidates will work to boost sales...
1 Reactions
3 Replies
704 Views
Back
Top Bottom