Habari!
Naomba kama kuna mdau yeyote aliyewahi kufanya interview za kuandika kada ya Mchumi daraja la II anipe mwanga kinachoulizwa hasa maana Mambo ya uchumi ni mengi.
Kama kuna maswali ni...
Hello, naomba tupeane ideas au maswali kuhusu hii kada, mliowahi kufanya interviews ya afisa habari hasa za utumishi mnaweza mkashare nasi kuhusu ili nasi tutusue.
Siku za hivi karibuni hasa hasa kuanzia kipindi cha awamu ya tano ya "mwamba" ajira serikali zimekuwa ngumu sana hata kwa zile kada zinazo ajiri watu wengi kwa wakati mmoja kwa mfano nursing...
Siku ya Jumapili, ofisi ya Kisaki (Kwa Dada Kulwa) huwa inafunguliwa jioni na hasa ni kwaajili ya kutoa vibali vya wanaoingia jumatatu. Hivyo ilipofika mida ya saa kumi na mbili kasoro ya jioni...
Salam!
Njoeni mnitoe hofu leo nimemsikia rais Samia akiongelea juu ya kufutwa kwa mashirika ya umma ambayo hayana tija.
Wasiwasi wangu ni kuhusu kusimama kwa utoaji wa ajira Kama kipindi kile au...
Wakuu anaitajika mwalimu mmoja wa primary awe wa kiume. Please tunataka wa kiume maana walimu wa kike wapo wa kutosha.
Awe na experience, shule ipo mkoa wa Simyu.
Karibu pm, weka namba ya simu...
JOB VACANCY: OPTOMETRIST
Eyenova Specialized Clinic
Who are We?
EyeNova Specialized Clinic is the notable specialized hi-tech private center in Tanzania dedicated to providing comprehensive...
Mambo magumu hapa aise ninashida na kama 50,000 kila ninayemkopa hana kama kuna kibarua sehemu au mtu anakazi fulani ya kufanya nikapata hii pesa basi msaada unahitajika.
Sina kazi ya maana na...
VACANCY ANNOUNCEMENT
On behalf of the Ardhi Institute Morogoro (ARIMO), Dar es salaam Institute of Technology (DIT), Mwalimu Nyerere Memorial Academy (MNMA), Tanzania Broadcasting Corporation...
Mdada/Mkaka (Sio Mmama/Mbaba) Anahitajika Kijana ambae ana muonekano wa Kijana atakae weza kufanya kazi ya Usafi na kusafisha Bidhaa zilizopo Ofisini.
Majukumu Yake ni Kuhakikisha Sakafu Safi...
www.eyenova.co.tz
WE ARE HIRING A MEDICAL RECEPTIONIST
Who are We?
EyeNova Specialized Clinic is the notable specialized hi-tech private center in Tanzania dedicated to providing...
Habari Wakuu? Bila shaka ni wazima Afya, poleni sana na changamoto za kutafuta ugali.
Mwaka 2023 ndo huo unaisha, Wasaka ajira wenzangu, huu mwaka umeishaje? Unajionaje kwenye harakati za kusaka...
Kwanini CRDB bank huwa inachelewa kuwapangia vituo vya kazi watu ambao imeshawapa majibu ya interview?
Naomba kufahamu kwa mwenye uelewa na hili swala.
Habari,
Kuna tetesi ya walioajiriwa TRA kuwa wanapigiwa simu kwenda kuchukua ajira. Swali langu ni kwanini wakati wameita interview walitangaza? na wanapoajiriwa wasitangaze?
Hii inaonesha wazi...
Samahani nilikua naomba kazi kampuni x vigezo vikawa tin number nikampa mtu anitengenezee yeye akatengeneza ya non businesses Sasa imekataliwa nafanyaje kubadili msaada jaman
Habari zenu wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kazi nafasi ya vocational training na utumishi.
Naombeni msaada wa Nondo za maswali kuanzia written na oral.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.