Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
habari? hivi kuna mtu amewahi fanya mitihani za utumishi anipe hints maswali yanavyokuwa? kama kuna mtu kwenye hii list kachaguliwa naomba anipe hints kidogo za maswali.
1 Reactions
1 Replies
435 Views
Nilikua nauliza kama naweza pata Chumba maeneo ya upanga, posta au eneo lolote Karibu na chuo cha CBE. Kwa Tsh.100,000/Mwezi. Kama ikiwa ngumu, Basi Fremu yenye sehem ya Biashara na kachumba...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Manzese, ubungo, magomeni au mabibo 0749220083
1 Reactions
7 Replies
468 Views
Sichagui kazi kikubwa iwe ya halali Umri: 23 Elimu form 4, diploma Niko na uzoefu wa kuuza Duka la chakula kwa miaka 4. Pia, nina uwezo mzuri kuhusu mipango ya biashara na pia natoa ushauri wa...
0 Reactions
12 Replies
523 Views
Kila la kheri wapambanaji
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Habarini za majukumu wakuu..ninayo namba ya NIDA lakini sijafanikiwa kupata kitambulisho hadi sasa..naomba kwa mwenye ujuzi wakupata soft copy anisaidiea
3 Reactions
14 Replies
5K Views
Last month nilikuta 15,000/= haipo Today 123,000/= nimevuta statement inaonesha ni salary na kuna jamaa yangu kakutana na hiyo hiyo shida kuna nini?
4 Reactions
62 Replies
6K Views
Job Post: Instructor Positions at Brightinstitute Zanzibar-Tanzania Required Education: - Master's degree in Business -Master's dehree in Education Master's degree in Public Health Master's...
1 Reactions
1 Replies
265 Views
Habari wana Jamii.. Nilikua na omba kujua namna ya kupata connection ya kazi/ajira Kwenye Mashirika ya kimataifa kama vile UN,Unicef na kadhalika .. Nina Degree ya Account na CPA. Shukran..
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Waungwana habari zenu! Nimekuja tena hapa kutafuta kazi maana hali yangu kiuchumi ni mbaya sana! Nina shahada ya Aquatic sciences and fisheries (Sayansi Akua na Uvuvi) niliyohitimu mwaka 2020...
4 Reactions
8 Replies
627 Views
Habari ndugu, Tunatafuta nfanyakazi ambaye anaweza kuhudumu katika sekta ya biashara na masoko na mengineyo , eneo SINZA MORI Dar. Vitu muhimu; Awe anaishi Dar es salaam isiwe mbali sana na...
2 Reactions
8 Replies
725 Views
Yaani nimeshangaaa sana, kuna jirani yangu ana mtoto kasomea ualimu wa Chemia na Biologia, SUA. Alimaliza 2021, chakushangaza katafuta kazi private, mshahara ni 250,000. Jamani walimu, yaani...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Mimi NI kijana wa miaka 23 Nahitaji kazi yoyote halali either ya nguvu au akili au zote kwa pamoja nimemaliz form four na nikisoma diploma miaka 2 wa tatu nimeshindwa kutoka na changamoto za ada...
1 Reactions
0 Replies
310 Views
Pole na kazi, Mimi kwa majina naitwa Salome Edward mwenye umri wa miaka 23, Ninaomba kazi ya Sekretari/stationery Pia Mimi ni mzoefu wa kazi hii nimefanya kwa kipindi cha miaka 5,nipo singida ila...
2 Reactions
12 Replies
816 Views
Habari wapendwa. Mimi ni graduate (I.T) ambaye kwa muda mrefu nina Hustle mtaani, Hapa Dar es salaam. Natafuta Kazi ya Boda Boda au kazi yoyote Halali Ili nipate kujikimu kimaisha. Uaminifu...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Kama title inavyosema Umoja wa mataifa (UN) watangaza nafasi mbali mbali za kazi katika ukanda wa Gaza. Hii sio mara ya kwanza kwa U kutangaza nafasi hizo katika tovuti yao. nimeona niilete hapa...
13 Reactions
100 Replies
8K Views
Anatatafutwa mwalimu kwa ajili ya kufundisha katika 'Tuition Centre'. Sifa Elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea. Kidato cha sita awe amesoma PCM na atafundisha masomo ya Physics...
0 Reactions
0 Replies
498 Views
Watanzania 500 Wauguzi Wanawake Kunufaika na Ajira Nchini SAUDI ARABIA. Sifa Diploma au Bachelor degree na awe Mwanamke Mtanzania. Tuma maombi au CV yako NLMIS au esu@taesa.go.tz Mwisho wa kupokea...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Wadau kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu kuitwa kwenye Interview za utumishi kwenye hizo nafasi zinazotaka watu 10 tu na waombaji ni 1760 Nilitaka kufaham kwenye Area kama hiyo kunawezakuwa...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari zenu wana jamii forum, Natafuta gari ya mkataba nifanyie kazi au biashara ya uber hesabu kwa wiki 170,000 gari ikiwa mpya miaka 2 na nusu kama used tutaangalia thamani ya gari sokoni...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom