Vijana wa kike kwenye sekta ya Afya mumemwagiwa Ajira ambazo zitakuwa ni Saudi Arabia.
Chagueni mtaenda Saudia au Israel kwenye vita.?
=====
DAR ES SALAAM: HATI ya makubaliano ya ushirikiano wa...
Naombeni msaada kwa watu ambao wako Bagamoyo ama karibu na Bagamoyo yeyote ambaye atakuwa na kibarua cha kufanya kwa siku anisaidie niweze kupata ili nipate pesa niweze kujikimu binafsi
Iwe ni...
Habari wapendwa.
Katika kuhangaika kutafuta Ajira, nimekuwa nikiona matangazo ya kazi mara kwa mara yakitolewa na Shirika linaitwa Good Neighbors Tanzania. Kwa anayelijua Shirika hili naomba anipe...
Hivi kwanini serikali mbaka sasa haitoi ajira kwa data clerks/officer pamoja na kuwepo kwenye muongozo wa NACP Zaidi inawaacha kuwa chini ya wadau na ajira zinatolewa kwa watu wa kada zingine za...
Nakipata Kama 50,000 nitakuwa na uwezekano mkubwa wa kupata kazi so nipe kibarua tu nipate hio Pesa.
Ukweli unahitaji pesa kupata kazi.
Ukiachana na kutokuwa na Kazi changamoto nyengine...
Our model for success is a better life for everyone and purposeful tasks for our employees. For more than 50 years, the Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit (GIZ), as a company...
Mimi natokea bagamoyo, nipo nasoma katika Taasisi ya sanaa na utamaduni bagamoyo
Bado niko mwaka wa kwanza, semester ya pili, sasa hapa kati yalinikuta matatizo yakasababisha nitumie nusu ya ada...
Msaada wandugu
nimekula hela ya "ada"ya chuo, naombeni mwenye hata kakibarua cha kufanya kwa wiki anipee nifanye[emoji24][emoji24]
Mimi napatikana bagamoyo
Natanguliza shukrani[emoji120]...
Kama umemaliza hiyo fani kwa miaka ya karibuni na hesabu zinapanda vizuri, tafadhali nicheki.
1. Uwe unaishi Dar
2. Uwe huna ajira ya kudumu au kama unaweza tenga muda japo saa mbili kwa siku...
Wakuu msaada tafadhali mshahara wa mtu ambaye ana degree mbili seeikalin unakuaje.
Maybe mtu ana degree na Health system manegement na pia ana degree ya social work unakuaje?
Msaada tafadhali.
Anatafutwa Mfanyakazi wa stationery
Ofisi ipo ILOMBA MBEYA
VIGEZO
-Ajue kutumia Adobe photoshop, Adobe Illustrator,microsoft office package,
-Creative
-uzoefu si muhimu
Mawasiliano
0629081759...
Natafuta kazi yoyote mkoa wowote
Nina uzoefu na computer maintance upande wa hardware na software
ufundi simu, printer, console za magame.
Nina uzoefu upande wa usafirishaji abiria
Nipo Dar...
Huu ni utaratibu mpya wa kutoa ajira? Kwanini Majina ya waajiriwa hayawekwi hadharani? Kwanini watumiwe tuu Email?
Mbona kweye usaili waliweka hadharani namba na wahusika wa Usaili?
Kuna shida...
Wasichana wawili wa kuuza duka, wanahitajika:
Waombaji wawe na sifa zifuatazo:
1.Wawe wasichana wa umri wa kuanzia miaka 19 mpaka 23
2.Wawe na elimu ya Kidato cha nne
3.Wasiwe na...
Habari wapendwa mimi ni mhitimu wa elimu ya chuo kikuu kwenye fani ya Mazingira na Jiografia, pia nmepitia mafunzo ya usalama mahali pa kazi (OSHA)
Naomba kwa mwenye connection na makampuni...
Habari Wana JF,
Mimi ni binti wa miaka 23 napatikana dodoma level Yangu ya elimu ni degree katika field ya mazingira
Naomba msaada wa connection ya kazi au kwa yoyote Mwenye kuhitaji kibarua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.