Kampuni yetu imejisajili NEST kwa ajili ya usambazaji wa vifaa mbalimbali vya ICT vipya (computer na fifaa vyake vyote). Anahitajika mtu anayejua bei za vifaa hivyo hapa nchini na nje ya nchi...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Kama una ujuzi na uzoefu na kazi tajwa hapo juu.. Njoo PM na wasifu wako ( CV ).
Note: Tunahitaji wenye uzoefu na kazi tajwa na sio elimu.
Habarini wana jamvi,
Leo nimeona si vibaya niungane nanyi kwenye jukwaa hili kwa ajili ya kuomba tenda/kazi ya muda ya kufanya nyakati za Usiku.
Kazi pendekezwa ni pamoja na kwenye...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza ajira 500 za Wauguzi wa kike ambao wataajiriwa na Serikali ya Saudi Arabia mapema mwezi January mwaka 2024.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24.
Elimu: Bachelor Degree in Official Statistics.
Utaalam: Nina uzoefu wa kufanya;
1. Data entry
2. Data collection
3. Data management
4...
Habari ndugu zangu,
Samahani kwa kuwasumbua naombeni msaada wa kuhusu application za ajira katika mfumo wa ajira portal nilikuwa nauliza kama kuna tangazo la kazi linahitaji applicants wawe na...
Habari wanajukwaa pendwa ndani na nje yanchi!Tuanze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi kubwa ya Maisha.
Naombeni kama unamfahamu mwalimu au mtu yeyote ambaye anaweza kunifundisha Spanish...
Habar bwana DeepPond nimekutumia ujumbe kwenye PM yako kwan nahitaji kazi ili nipate hela ya kula
Kupitia biashara zako unaweza kunisaidia kwa kunipa kazi
DeepPond
DeepPond
morning,,
Helo my fellowTanzania's recently there are some website claim to provide job vacancies,but trust Me most of them are scam
Today I will provide you with some link for website to find...
Kama kisemavyo-kichwa cha habari hapo juu
Majukumu yake ni kama yafuatayo
Kuomba kwa mda mrefu na kwa mzigo kwa ajili ya kutatua changamoto za watu wengine
Kushauri beneficiary...
Habari za sasa hivi waungwana.
Nimekuja kwenu kuomba connection ya kazi zinazohusiana na ujenzi kiujumla.
Educational background:-
Ni graduate engineer katika fani ya uhandisi ujenzi.
Nina...
Baada ya kuomba kazi humu na kutumia neno kuwa kazi iwe halali ama haramu...watu wakaogopa..lakini kotekote Cha muhimu uaminifu....Sasa nimepata kazi nashukuru Mungu...ingawa sio kwa connection za...
Tunatafuta mwalimu wa day care in Dar es Salaam. Vigezo awe mwanamke, tuna kituo cha day care Salasala, anayeona mema atupigie.
0717457679
CHANGAMOTO NI MATUMAINI / www.changamoto.org /...
wana bodi ,. Shaloom !
Nina uhitaji mkubwa wa dharula wa mhudumu wa duka la dawa muhimu.
Duka lipo morogoro
Chakula na malazi ni juu ya boss
Mshahara 200,000
Simu namba 0655944268
Habari zenu..natafuta kazi ya bar AMA liquor store..ama grocery...uzoefu ninao....
#MSICHANA
#MIAKA 29
UZOEFU nishawahi fanya katika liquor store.kwa miaka.2...mahesabu nko vzur.pia.uaminifu upo...
Awe bado ni binti ambaye hana mambo mengi na ni Mkristo! Kama atakuwa kamaliza kidato cha nne itapendeza zaidi! Ndio nasema kidato cha nne kwasababu wengi unakuta wako nyumbani hawana issue mwisho...
Habari Wana jamvi,
Hivi mfamasia anauwezo wa kusimamia pharmacy ngapi Kwa kutumia cheti chake, na je majukumu yake ndani ya hiyo pharmacy ni kukaa humohumo na kuuza dawa au ni yapi?
Na mfamasia...
Wazee niliomba connection ya kazi humu miezi kadhaa JF mlinisaidia kwa kiwango chake kwa kurespond na tatizo langu la kazi kiukwel nimeapply sehem mbalimbali bado nasubiri majibu lakini NAOMBENI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.