Kwa Wale Marafiki Zangu Wa Tanga Mjini Naomba Tujuzane Mishe za huko. Huku Kwetu Hali Ngumu Naomba Kama Kuna mishe yoyote tujuzane hata Viwandani poa kazi yoyote napiga tu. Hata ya uvuvi 0620769050
Wakuu, habarini za muda huu! Kwanza niwape pole na majukumu yenu kabla sijaeleza kilichonidubwisha kuandika uzi huu.
Hakuna maisha magumu kama kukaa jobless au kuwa na kazi za kubangaiza mtaani...
Kuna uhitaji wa kupatikana kwa watu wawili. Wote hao, huitajika Songea, katika Pub.
01. Counter
Anaweza kuwa wa kike au wakiume. Elimu at least, form 4 na kuendelea.
02. Mhudumu wa Vinywaji...
Ubalozi wa Tanzania nchini Ubelgiji unapenda kuarifu kuhusu uwapo wa fursa za ajira katika Jumuiya ya Nchi za Afrika Karibiani na Pasifiki OACPS yenye makao makuu Brussels Ubeliji ambayo Tanzania...
Salamu wakuu,
Kama nitakuwa nimekwenda nje ya mada nawaomba radhi ,mimi ni dereva wa muda sana katika ufanyajikazi wa tipper kubwa (gari za kusafirisha material ya ujenzi) nimefanya kazi...
Habari wadau nimeitwa kwenye usahili/interview katika nafasi ya utendaji wa kijiji daraja la III hivyo naombeni dodoso kidogo mfano wa maswali ambayo tunaweza kuulizwa kule wakati wa Interview...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k...
Ni Kijana Smart
Umri wangu miaka 24
Naishi Dar Kimara
Elimu yangu ni Bachelor Degree ya linguistics (English & Kiswahili)
Pia ujuzi wa Welding ninao mzuri
Nina uwezo wa kufanya kazi nyingine...
Habari Wana jf ...naitaji msaada wa kujua vituu vyote muhmu kwa ajili ya kufungua duka la nyama ikiwemo mtaji minimum shngap na mambo yote muhmu changamoto na faida za biashara iii...na location...
"SUPERCHARGE YOUR CAREER WITH OUR PROFESSIONAL CV, RESUME , AND COVER LETTER WRITING SERVICES!
[emoji344] Ready to make your mark in the job market? Our skilled team specializes in crafting...
The Tanzania Revenue Authority (TRA) is pleased to inform the job applicants who passed the screening test and were selected for practical and oral interviews. The interviews are scheduled to take...
Position: Program Coordinator
Job Details
As a Project Coordinator, the Employee is required to perform the following duties and undertake the following responsibilities in a professional manner...
Position: Senior specialist; Revenue Assurance and Governance
Job Location: Head Office, HQ
Job Purpose:
Identify areas of improvement in bancassurance revenues and margins, provide analytics...
Position: Clinical Officer (1 post)
Reports To: Project Leader
Work Station: Ifakara
Position Summary
Ifakara Health Institute seeks a qualified and experienced Clinical Officer. The...
Position: Sennebogen Operators (15)
WASCO ISOAF Tz is a Tanzania -incorporated company with its head office in Dar e Salaam and its plant in Nzega District, Tabora Region. The Company has been...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.