Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Position: HR Manager location : Sapphire Complex, Sunbank mabati, Nyerere Road reports to: General Manager Role Purpose The position holder will be responsible to support the Human Resource...
1 Reactions
0 Replies
315 Views
We great city material we are inviting the candidates with HR officer credentials
1 Reactions
7 Replies
482 Views
Naomba msaada toka kwa yeyote aliyefanikiwa kujiunga, au anafahamu jinsi ya kujiunga binafsi mfumo haufunguki. Link ya mfumo: https://ess.utumishi.go.tz [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa waliohitimu mafunzo ya kujenga Taifa (JKT) na Kujenga Uchumi (JKU), waliopo kwenye makambi na nje ya makambi wenye elimu ya Shahada...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Hii imekaaje wadau ?
0 Reactions
11 Replies
951 Views
Habari za muda huu JF Family, Rejea kichwa cha Habari hapo juu,Mimi ni mhitimu wa clinical medicine 2023 natambulika kama clinical officer (co). Natafuta nafasi ya kujitolea katika kituo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama unafikiri kufanya kazi kwa bidii tu kunatosha.. utashangaa unafeli kila siku kwenye maofisi ogopa sana watu, hata uwe mchapakazi vipi, waelewe watu kwanza ili uweze kufaulu. Hizi ni baadhi...
30 Reactions
54 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, fundi mbobezi wa hizi kazi nipo Daresalama na ninahitaji kazi. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya na kusimamia kazi za serikali, hivyo ubora wa kazi yako ni...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Habari wana jamvi, Natafuta kazi yoyote ya halali, Elimu: Bachelor degree (shahada) ya ualimu masomo kiswahili na Geography Umri: Miaka 28 Eneo nilipo: Dae Es Salaam, Goba Lugha: kiswahili na...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari naomba msaada wa mawazo nimefanya interview ya utumishi ila nilkuwa na presha Kwa sababu ndo interview yangu ya Kwanza ,kwenye karatasi nillizojibia niliandika namba ya usahili ila kwenye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jf nina mdogo wangu amemaliza clinical medicine mwaka Jana na ana matokeo mazuri na anatafuta kazi ya kufanya inayohusiana na alichosoma zanzibar kwa part-time yaani asubuhi anasoma...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Salamu wakuu... Mimi nikijana mwenye umri wa miaka26.Naomba nafasi ya ualimu katika shule yoyote ya binafsi(Primary au Secondary). Nina diploma ya ualimu katika masomo ya Kiingereza na Kiswahili...
0 Reactions
3 Replies
819 Views
kama unajijua una lower second class nibora ukajishughulisha na kazi zingine…!
7 Reactions
137 Replies
38K Views
Salary Slip Portal Wizara ya fedha wametoa portal rasmi ya kupata salary slip kwa njia ya mtandao (online) kwa watumishi wa umma *Taarifa zinazohitajika* >Check number >Majina yako matatu...
1 Reactions
22 Replies
34K Views
Mimi nikijana niliehitimu mafunzo yaufundi mekaniks mwaka jana. Mwaka huu nwezi wapili nikapata kazi nashukuru imenipa uzoefu mzuri sana kwenye masuala yaufundi Lakini sasahivi ofisi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Wana Jf. Tatizo ni nini mfuko wa PSPF kushindwa kutoa kadi za uanachama kwa Wanufaika Watumishi wa Serikali? Natambua Mtumishi ambaye ni ajira mpya anaanza kupokea makato kutoka PSPF...
0 Reactions
5 Replies
443 Views
Wakuu hivi hii course ya social protection mtu anaweza kupata kazi wapi. Naombeni mnipe muongozo kuanzia serikalini na Kwa private sector ni wapi anapoweza kuajiriwa mtu mwenye degree ya social...
0 Reactions
2 Replies
883 Views
Hello habari zenu humu wadau Nahitaji connection yeyote ya kazi ni muhitimu wa Diploma ya community development (social studies) Nina experience na kazi na pia nina fani ya computer program zote...
2 Reactions
1 Replies
709 Views
Kama heading inavyojieleza bado naangaika kusaka ajira. Kuna siku niweka uzi nikaukimbia watu wana maneno makali sana unaweza jiona hufai tena. Sijachanganyikiwa kama wengine wanavyoamini mimi...
15 Reactions
166 Replies
12K Views
Wana JF Salaam, Naenda kwenye Usaili TASAF Dar es Salaam weekend hii. Usaili ni Jumatatu na Jumanne wiki ijayo(nafasi ni Ukurugenzi wa Idara moja pale TASAF). Kwa kuwa nasafiri umbali mrefu...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Back
Top Bottom