Position: Project Drivers (2 Posts) (Railway Children Africa)
Term: Full Time
Reporting To: the Finance Officer.
Salary: Annual basic Salary of 7,200,000/- excluding other benefits
Location: Dar...
Habari zeni wakuu, kwa heshima na taadhima nmeona nilete jambo langu hapa. kwa maana katika harakati za msoto wa kila siku nmeona ni vyema kuleta jambo langu aidha naweza kupata idea ama kupata...
Wakuu habari?
Naomba kuulizia nawezaje kupata kibali cha kuweza kuomba tena kazi serikalini kwakuwa niliacha kazi kutokana na matatizo je naweza kupata wapi kibali?
Kila halmashauri niombayo kazi...
Wakuu natafuta ni sehemu gani hasa mkoa wa dodoma vijijini ama wa morogoro vijijini niende ambapo nitaweza kupata kazi ndogo ndogo za viwanda vinavyohusiana na kilimo ama mashambani
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Yaani kama umesoma course ambazo ajira zake ni za local Government una bado hujapata ajira ila una kajiofisi Kako umejiajiri na kwa mwezi unaingiza faida...
Habari wakuu Kwa wale ambao tumemaliza chuo 2015-2020 na mpaka Leo hatujaajiriwa serikalini au kwenye private company lakini position nzuri sio vibarua tukutane hapa tuweze kupeana ushauri...
mimi nimesoma bacherol ya Biotechnology and laboratory sciences na miejaribu kuapply kazi kama vile laboratory scientist katika biochemostry au microbilogy na unakuta wanaweka pale kozi...
Habarini za leo!ninatumai mko salama.
Ninahuitaji wa fedha kiasi cha million mbili(2) za kitanzania ,ninaomba mtu yeyote atakayeguswa aniazime na nitamlipa kwa awamu .
Mungu awabariki.
Habari,
Napenda ulizia kwa yeyote anayefuatilia hii online learning platform ya EACOP je kuna any information waungwana? MIMI nime complete session ya kwanza, next stage lini?
Habarini jamani Mimi ni kijana wa miaka 26. Nauliza yoyote mwenye kazi au connection ya kazi za ufundi mechanic. Elimu yangu kidato Cha sita(PCM) na pia Ni NTA LEVEL 4 in mechanical engineering...
Aisee wadau kuna mtu kaniuliza mshahara wa IT hapa Bongo umekaaje na soko likoje kwa mtu aliesoma IT, COMPUTER SCIENCE au COMPUTER ENGINEERING na kozi relevant na hizo.
The Eastern Arc Mountains Conservation Endowment Fund (EAMCEF) is a Trust Fund that was established as a mechanism to provide long-term and reliable funding support for Community Development...
Habari za sa hizi mimi ni msichana miaka 21 elimu form four na nnajua computer kidogo nshawai kufanya kazi kama cashier hotelini,Natafuta kazi yeyote kwa sasa ivi asanteni ukisikia tafadhali...
Kama ilivo mada.
Awe anajua kuendesha pikipiki na ana uzoefu katika usimamizi wa makampuni ya ulinzi.
Awe tayari kuanza kazi kesho na awe ni mkazi wa Dodoma.
My namba ni 0699626644.
Usije PM...
Tunatafuta wafanyakazi wa kiume Njiro, Arusha. Kazi ya kuhudumia bar yetu ilipo conteina Njiro, vigezo wawe watanashati na mwonekano mzuri.
Mshahara kuanzi laki 3.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.