Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Natafuta mc na mzikiwake wa shughuli ndogo tu ya watu 150 kwenye ukumbii kama yupo umu au una ndugu yako ana mziki na ni MC shughuli ni tarehe 2/12 tuwasiliane 0685141035 [emoji1545] ofaa yangu...
1 Reactions
2 Replies
372 Views
Kwa wale mliofanya usaili wa MDA na LGA Januari mwaka huu, matokeo yametoka, ili kuona ya kwako ingia katika akaunti ya ajira portal na angalia kwenye application zako utaona kama upo selected or...
8 Reactions
57 Replies
10K Views
EMPLOYMENT OPPORTUNITY – PASADIT TANGA PASADIT is a non-governmental organization operating under the Catholic Diocese of Tanga. PASADIT strives to ensure that the Most Vulnerable and...
1 Reactions
0 Replies
532 Views
Heshima kwenu wakuu Kijana mtaalam wa kutengeneza na kuandaa kuku choma na kukaanga kuku, broiler, sekela, na Aina zingine za kuku. Pia mwenye utaalamu mkubwa wa kuandaa na kutengeneza chips...
1 Reactions
1 Replies
644 Views
Habari ya muda huu. Natafuta kazi ya afisa mtendaji mtaa au kijiji popote nchini nina cheti cha form four na form six.
1 Reactions
6 Replies
573 Views
Habari ndugu zangu Nina rafiki yangu ni fundi wa kufanya wiring za majumbani na ofisini yuko Dar kwa sasa. Kuna mteja wake alimleta huku alimfanyie wiring kwenye nyumba yake baada ya kuona kazi...
0 Reactions
2 Replies
401 Views
Position: Senior Private Sector Specialist Job #: req24601 Organization: World Bank Sector: Private Sector Development Grade: GG Term Duration: 4 years 0 months Recruitment Type: Local Recruitment...
1 Reactions
1 Replies
380 Views
TRA wishes to inform all job applicants who applied between May 27, 2023, and June 9, 2023, that interviews are expected to be conducted in various stages starting on September 24, 2023...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Tembeleeni email zenu, majibu yametumwa, niwatakie kila la heri
9 Reactions
99 Replies
10K Views
TRA wamewa-shortlist wenye digrii za Bank & Finance Kwa kigezo cha Finance, wamewaita kwenye usaili na namba za usaili wakawapa, Lakini siku ya Interview wakawatenga. Ajira za TRA kupitia...
5 Reactions
29 Replies
5K Views
Wadau interview ya TRA lini? kwa tangazo la ajira lililotanganzwa June 2023:mad:
4 Reactions
29 Replies
7K Views
Habari wakuu, Kama kichwa kinavyosema, natafuta kazi ya udereva, umri miaka 22, uzoefu miaka 2 leseni class D, elimu kidato cha sita. Iwe udereva binafsi au biashara kwa magari madogo ya mizigo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 ni muhitimu wa stashahada ya LABOUR RELATION AND PUBLIC MANAGEMENT naomba kujua vitu gani vya kuzingatia ambavyo vitanisaidia kuitwa kwenye interview.
0 Reactions
1 Replies
379 Views
Kumetangazwa nafasi za kazi Ubalozi wa Uingereza na DFID. Japo mshahara wa kuanzia umeandikwa ni TZS. 4. Million ila kiukweli depending on your qualifications na expiriance utavuta hadi...
7 Reactions
53 Replies
16K Views
Wakuu habari zenu, Mimi kama kijana mpambanaji nlikutana na tangazo moja nikaaply kama kawaida. Wale watu wakanijibu kwa email kuwa Kuna interview mbili na ya kwanza ni kujaza Staff assessment...
0 Reactions
3 Replies
801 Views
Habari, Tunajua kwenye maisha Yetu kila kitu ni Mungum Hebu Tuambie Mtu unaye mu admire alisababisha wewe upate kazi unayofanya au uliyowahi kufanya kupata maisha. Mimi nilikuwa kitaa kuna...
23 Reactions
104 Replies
8K Views
Habari nahitaji mwenye cheti cha mafunzo ya labourbase tuwasiliane kwa namba hii 0626402722
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu anahitajika mtu wa mauzo anayeweza kuendesha guta mpya kabisa na piki piki wa kutafuta wateja na kusambaza bidhaa za vyakula ikiwemo brand ya unga wa sembe inayojulikana Mtwara (gas...
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Hello guys. Natafuta kijana wa kuuza duka la dawa za binadamu awe na zifa hizi: 1. Mwenye cheti cha Ado na umiliki wa duka la dawa. 2. Awe tayari kufanya kazi kwa bidii. Eneo ni Dar es salaam-...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna agenda sjui maelekezo sikuiz ajira zimekuwa ni lazma wanawake waajiriwe weng kuliko wanaume hata kama huko kwenye kaz sio watendaji wazur had kaz ngumu madem wanapewa sana ajira yan imefikia...
5 Reactions
23 Replies
982 Views
Back
Top Bottom