Ndg wanajamii wenzangu naleta maombi kweni yeyote mwenye taarifa sehemu kuna nafasi kazi za dereva naomba anijuze tafadhali.Nna grade ONE na Two ya driving kutoka NIT pia elimu ya computer kutoka...
Hivi hawa utumishi wapo serious kweli? Hivi wanajua maelfu na mamia ya wasaka ajira wanakwama kiasi gani kutokana na huu mfumo wao wa hovyo? hivi watu wateseke kupata elimu kuanzia darasa la...
Habari Wana jamvi,
It's urgent, anahitajika mwalimu wa chemistry mwenye uwezo wa kufundisha A level.
Location ni BANANA UKONGA DAR ES SALAAM. Aliye tayari nitumie namba inbox.
Hello!
Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu.
~ Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
~ Namba...
Kuna rafiki yangu ni muhamga alifanya interview Dar ya kuandika then akafaulu akaenda dodoma kufanya mahojiano. Toka mwanzoni mwa mwaka mpaka sasa matokeo hayajatoka ya kupangiwa vituo vya kazi...
Ndio maana hata wakiwa kazini hawafanyi kazi kwa bidii muda wao mwingi wanatumia kuwaza kubebwa hata wakiharibu kazi.
Wakiharibu kazi hawaogopi maana wanajua watabebwa.
Mimi ni mtumishi wa ummah ajira za 2022. Mpaka sasa tumeshafikisha mwaka kazini na bado hatujapewa barua za kuthibitishwa. Kuna fursa nyingi zinatokea ila barua ukifatilia unaambiwa bado msubiri...
Tamisemi wamesema wanatarajia kuajiri watumishi wa afya ngazi ya jamii siku sio nyingi...
Wenye vigezo tunzeni nyeti...
Lakini pia hii ni dalili nzuri kwa watumishi wengine wote wa afya ajira...
Habari wakuu,
Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi. Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana, kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa...
Habari wana JF
Naomba kujua kuhusu hizi Interview zinazoendelea na ambazo zimekwisha fanyika za Written kuna mwenye taarifa majibu yanatoka lini kuhusu hatua nyingine ya Usahili wa Mahojiano...
Kwa wale ambao mulishawahi fanya interview za Amref Africa pale makaomakuu Dar wanaeleweka au wanna undugulazation na connection Kama haya mashirika mengine.
Wakuu mambo vipi? Naona ma PDF yameanza kumwagika, changamoto ya malalamiko ya kwanini Utumishi wako kimya, inakwenda kuisha huku changamoto nyingine zinazotokana na kuitwa zinaanza kuibuka kwa...
Position: Human Resources Specialist
Location: Dar es Salaam, Tanzania
Reports to: Country HR Manager
Level: 14
Role Purpose
The position holder will be responsible to support the Country HR...
Natafuta kazi au internship
Education: Bachelor degree of science in production and operations management.
Expirience;
I have worked in quality control and production supervising job, i can handle...
Ni HR wa halmashauri ya mabada songea anaomba ahamie dar na aim yake kwenye taasisi yoyote ya serikali Amefanya kazi Uko alipo miaka minne msaada ndugu zangu
Kama una connection yoyote Naomba...
Position: Project Coordinator
Location: Katavi
Reports to: Project Manager
Level: 13
role purpose
This role will coordinate the planning and implementation of VUMA project activities in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.