Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Position: ICT Specialist Duty Station: MoH Centre for Distance Education (CDE) with frequent travels at the Centre of Excellence in Health Monitoring and Evaluation at Mzumbe University, Morogoro...
1 Reactions
0 Replies
421 Views
Position: Monitoring And Evaluation Advisor Reports to: Senior Technical Lead Duties and Responsibilities: Design and implement the Project’s Evaluation and Performance Measurement Plan (EPMP)...
0 Reactions
0 Replies
432 Views
Habari. Mimi ni dereva wa bajaji. Nina leseni ya udereva Nipo Dar es Salaam. Ninahitaji Bajaji ya mkataba. Kwa mwenye bajaji tuwasiliane kwa ajili ya maelewano. Asanteni!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Enyi mnaosaka vibarua ndani ya JIJI la DAR, nendeni mkaombe vibarua hapo kwenye Jengo la Freemason Dar es salaam. wanafanya maboresho ya Jengo zima kuanzia Ground Floor mpaka Paa. Huwezi Jua...
6 Reactions
6 Replies
3K Views
Digital Marketing Executive job description We are looking for an experienced and result-driven Digital Marketing Executive to join our awesome marketing team! We are expecting you to have...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Familia ya Dar es Salaam yenye kuthamini utu inatafuta mfanyakazi wa ndani wa kike mwenyewe umri mwisho miaka 22 kwaajili ya kazi za ndani. Mfanyakazi ataishi vizuri na dada mwenye nyumba kwani...
3 Reactions
6 Replies
769 Views
Find potential clients, negotiate and close the deal Maintain customer relationships, track sales data, and create daily/weekly reports. Research and analyse market trends, competitor offerings...
3 Reactions
4 Replies
508 Views
Mimi ni mama wa familia Nina watoto wawili nimeolewa natafuta kazi yoyote ila nipo GEITA mjini Nina miaka29 nisaidie tadhali mwenye connection namba yanu ni 0622575581 kwa ajili ya kazi tu elimu...
1 Reactions
1 Replies
798 Views
Habari wana JF, Naiman, tu wazima wa afya. Naitwa Saimoko, niko Njombe. Mimi ni middle man (dalali) wa mazao. Uhitaji wa middle man ni muhimu sana kwa wafanyabiashara, kwa sababu sio wote...
2 Reactions
4 Replies
518 Views
Habari wanna jamii forums, katika harakati zangu za utafutaji nami nikaona sio mbaya kuanzisha kikampuni changu kidogo Cha usafirishaji. Lengo ni kuendelea kujikomboa na circle ya umasikini, na...
9 Reactions
59 Replies
3K Views
Kuna kikazi cha siku 1 au 2 kwa mtu wa jinsi yoyote ambaye yuko Mtwara. Mtu ambaye yuko sharp, smart na anajiamini na mwenye uelewa wa mambo. Anicheki DM fasta na namba yake ya simu. Lazima uwe...
4 Reactions
7 Replies
638 Views
Habari za wakati huu wakuu..? Mimi ni binti wa 20's..nimemaliza chuo Mwaka huu Bsc with Education(Biology and Chemistry) Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kazi ama sehemu ya kufanya kwa kazi...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Nimesikia tetesi kuwa vibali vimetoka lakini mkeka haujawekwa hadharani, sasa tamisemi hawaoni hii itatengeneza mwanya wa mabosi wa Halmashauri kuficha barua na kuwanyima watu haki zao...
1 Reactions
0 Replies
306 Views
Jaman kama Kuna mtu ana shamba au eneo lenye nyumba au mabanda maeneo ya Kibaha, Mlandizi au sehemu yoyote karbu na Dar na anahitaji mtu wa kukaa au mlinzi naomba anisaidie lengo langu nataka...
27 Reactions
107 Replies
4K Views
Una kuta mtu ktk program aliyosemea ndani yake kuna courses za profession fulan lkn kama utumishi ktk education qualification wakisema wanataka B.A Y basi ni Y tu Huu.mfumo ni wa kuutazama...
13 Reactions
52 Replies
4K Views
Habari, Naomba kujuzwa kwa wenye uzoefu na hawa jamaa wa mradi wa bomba la mafuta la TAZAMA (TANZANIA ZAMBIA MAFUTA) Hivi wanalipaje kwa nafasi ya ulinzi? Mana nimeona wametangaza nafasi na...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu, Naamini mko salama kabsa. Naomba kuuliza, mkopo kwa watumishi wa serikali kutoka hazina kuu huwa unapatikanaje na mtumishi afanye nini kuupata? Nimesikia baadhi ya watumishi wakiwa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wanajamvi Nimefuatilia placements nyingi za kazi lakini kuna jambo nimegundua unakuta wakati tangazo la kazi linatoka serikalini labda linahitaji watu 20 lakini watakaoajiriwa ni 12 tu...
3 Reactions
3 Replies
719 Views
Position: Quality Assurance Manager Our client is a registered Tanzanian Company under Companies Ordinance (Cap. 212) and a leading hospitality Company with Operations in Arusha, Meatu-Simiyu...
1 Reactions
0 Replies
349 Views
Kwa Majina Naitwa Musa Augustino Lweve, ni dereva wa magari Manual pia na Automátic. Lengo la kuleta mada kwenu ni kusaidiana. Nilikuwa naomba mwenye connection ya kusafirisha gari kwenda nchi...
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Back
Top Bottom