Habarini wakuu.
Nimekuwa nikija humu kuomba hizi nafasi za kujitolea upande Wa IT. wakuu natamani niwe expert Wa computers networking installation and configuration lakini bado sijapata nafasi...
Habari za mchana? Nilikuwa napenda kufahamu kwa ujumla mazingira ya wilaya ya butiama kwa mtu anayeenda kuanza kazi katika wilaya hiyo.
Kwenye upande wa mazingira na tamaduni za huko butiama ...
Habari wana Jamii.. Naomba kupata uelewa kwenye hili .
Ikiwa umeshaajiriwa na unataka kuomba ajira Tena serikalini, wanaposema upitishe barua yako kwa mwajiri wako wa sasa .
1.Je ispofanyika hivo...
Milio ni Mingi Wakuu!
Hapa Moja haisomi Mbili haikai. Yàani nimevurugwa kishenzi.
Harusi yàngu ni Mwezi huu. Alhamdulullah Watu wamechangachanga na tumefikia Asilimia 90% ya michango. Hapa bado...
Habari wakuu,
Baada ya kuleta uzi WA kuuza nyumba hapa Na wengi wenu kunishauri nisiuze kiufupi nimepokea ushauri wenu ndugu zangu.
Ombi langu ni hili kwenu naomba MTU yeyote mwenye Gari ambayo...
Kwenu wakuu habari zenu
Mimi kijana wa miaka 25
Elimu form six
Nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba kwa ajili ya kazi ya boda boda kijiwe changu kitakuwa kariakoo
Uaminifu ni mkubwa...
Naomba kuuliza
1.Wanaposema temporarily employment wanamaanisha ni kazi za mkataba wa muda gani? Na je baada ya mkataba kuisha kuna possibility ya kuongezewa mkataba au ndo shughuli yako inakua...
Kwa miongo kadhaa, kupata MBA kutoka Ivy League imekuwa ikichukuliwa kama tiketi ya dhahabu kwa ajira popote. Kulingana na Fortune, MBA ya Harvard inachukuliwa kuwa bora zaidi, ikishika nafasi ya...
Gdence Auto Spare Parts and Service ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji wa vipuli vya magari kutoka German na urekebishaji (Service) ya magari hayo.
Ofisi zetu ziko Dar es salaam maeneo ya Sinza...
Nimefanya kazi kwenye NGO kwa miaka 8 mpaka mradi wangu wa mwisho ulivyofika tamati.
Maisha yangu ni ya kujichanganya na watu wote kwa sababu sijawai kujiona special kwa lolote nafanya kazi...
📢 BRIGHT AND GENIUS EDITORS ANNOUNCEMENT 📢
TUNAANDIKA NA KUHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO:
👉1. Business Proposal/Plan 💼,
👉2. Katiba za Vikundi 📜,
👉3. Cover Letter na CV/Resume 📄,
👉4. Website...
MWF TANZANIA
We are seeking the services of a cyber security expert in Dar es salaam, see below and apply if you are suited for the role.
Role Purpose
The role holder will be primarily...
Kama kuna mtu anahitaji dereva wa kukodi kwa trip au safari basi naomba anijulishe..ni udereva wa muda trip tu naamnisha ukiwa umechoka au unahitaji kuenda sehemu yoyote ila unahitaji kusaidiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.