Habari zenu wanajamvi,
Naungana nanyi wote mlioko Tanzania kwa msiba wa kijana mwenzetu Ruge..! Hakika kazi yake ya hapa duniani ameimaliza na mungu ailaze roho yake mahali pema peponi,
Pia naona...
Nina elimu kidato cha nne,nilifaulu vizuri sana, nikakosa hela za kuendelea A level,nahitaji ajira ya kudumu au ya muda katika moja ya mashirika hayo, nina uwezo wa kuongea ktk mikutano na...
We are a building material company supplying high quality building materials
Role Description
This is a contract hybrid role for a Sales Associate . The Sales Associate will be responsible for...
Idara ya Uhamiaji Tanzania imetangaza majina ya vijana 331 waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya idara hiyo kuanzia Machi 1, 2025.
Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo hayo limetolewa leo Alhamisi...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb.Na.JA.9/259/01/A/83 28 Mei, 2022
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika...
Habari, nina degree ya housing and Infrastructure planning (Mipango miji) nimemaliza chuo kikuu Ardhi mwaka 2023 nipo Dar es Salaam.
Natafuta nafasi ya kazi au hata ya kujitolea hata kwenye...
Jamani naomba kujua kwa wale wazoefu wa kazi, kazi za afisa mipango ikoje? anafanya kazi gani hasa? je kuajiriwa ni lazima uwe na vigezo gani (qualification) na je ni serikalini tu au hadi private...
Natafuta Mpishi Wa Vitafunio.
Awe anaweza kupika Chapati Kuanzia Kilo 10.
Kazi katika Mgahawa ambao upo Dar es Salaam, Maeneo ya Bomba Mbili, Njia ya kutoka Mombasa, Ukonga.
Pia mahitaji Mpishi...
Mfano kwa leo nimeona kuna tangazo la ajira TRA.
Ni wao wenyewe wanasimamia zoezi, maombi yanatumwa kwao
Wasio na connection wanatoboa hapa ?
Boss yupo tayari kumpa ajira mtu asiemjua wakati...
Habari ndugu zangu, naomba kujua kama humu ndani Kuna mtu anafanya kazi au unajuana na mfanyakazi wa MICHAMVI SUNSET BAY HOTEL. Kama yupo namba tuwasiliane DM maana nahitaji kupata fursa ya...
Nauliza kwa ambae amewai fanya usahili Gaming board Tanzania, written yao ni multiple choice au kuandika yaan maelezo mengi mengi au kwa mwenye idea huwa zinakuaje?
Kodi gari lenye uhakika na Rhond's company limited linalofaa kwa mahitaji yako yote ya kusafiri.
📅 Yanapatikana sasa – weka oda mapema uhakikishe tarehe zako!
✅ Bei nafuu
✅ Magari masafi na...
Wakubwa habarii za muda huu?
Hii interview ya Uhamiaji ndio ya kwanza katika maisha yangu maan nimebahatika kuitwa kwa fani ya umeme (electrical engineering) ngazi ya diploma .
Kwa hapa mwenye...
Kwa majina naitwa Alfred Baraka Rugoye, mwanafunzi wa mwaka wa mwisho katika shahada ya Sayansi ya Kompyuta. Nimejikita zaidi katika uchakataji na uchanganuzi wa data, ujifunzaji wa mashine...
Wakuu, humu kuna mtu amewahi kufanya intership NIDA au kujitolea??
Nimeuliza kujua kuhusu hawa jamaa
Jee mtu anayejitolea au kufanya intership nida analipwa chochote au hata posho???
Habari zenu,
Kama unatafuta kazi kwenye hizi NGO's ziwe za Local au International kuna usanii mkubwa sana kwenye kuajili au kwenye ajira zao.
Yani wanajifanya wanatangaza kazi na kuita watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.