Samahani wakuu katika harakati za ugonga ulimbo nilikuwa nafanya application ndani na nje ya nchi sasa niliomba kazi shirika la Nestle global nchini Ghana.
Nimepokea mwaliko wa interview huko...
Reporting line- Manager; CyberSecurity
Job Summary
Responsible for daily monitoring of the IT Infrastructure using security technical expertise and looking for patterns and potential issues, this...
Kufuatia agizo la Donald Trump kusitisha misaada kwa shirika la USDA, naomba kufahamu yafuatayo:-
1. Je, Kuna shirika ambalo limeshafanya handover?
2. Mali za mashirika zitapigwa mnada au...
Habari zenu wadau? Kuna binti anatafuta kazi, ana miaka 22. Anasoma chuo ila haitaathiri kazi atayopata. Ni mtu smart, ujuzi wa lugha upo, anaweza kutumia computer vizuri. Anaishi Goba kwahiyo...
About
Announcement Number: Dar es Salaam-2022-008
Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam
Position Title: Political Assistant
Open Period: 01/31/2022 – 02/14/2022
Time Zone: GMT+3
Series/Grade: LE –...
VACANCY ANNOUNCEMENT
Ref.No.JA.9/259/01/A/466
1.0 BACKGROUND INFORMATION
On behalf of The Arusha International Conference Centre (AICC), Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites...
Habarini ndugu zangu, poleni na majukumu
Najua wengi wenu mtanibeza, ntanitusi na wengine kunikebehi ila kiukweli natamani sana kufanya kazi kwenye telecommunica industry
Kwa yeyote...
Habari zenu wana jukwaa?
Hivi hizi ajira za tra let's say sisi watu wenye shahada za uhasibu naona kama kuna kada nyingi sana tunaingia,mfano tax management, customs,accounts officer, auditing...
NBC is the oldest serving bank in Tanzania with over five decades of experience. We offer a range of retail, business, corporate and investment banking, wealth management products and services...
Natafuta mtu aliyesoma kuhusu mifugo na yupo competent tuwasiliane hasa awe anajua production ya chakula cha kuku na mifugo mbalimbali. Tuwasiliane through call/Whatsapp 0658183618
Habari wana JF
Nimesugua benchi kwa muda sasa. Natafuta ajira. Elimu yangu ni shahada ya sheria. Kazi sio lazima iwe ya kisheria. Tafadhali mwenye kuguswa naomba tuwasiliane kwa email...
Watumishi wa umma tumekua tukiomba nyaraka za madai ya madeni yetu mara kwa mara ila hayafanyiwi kazi.
Watumishi wengi wa umma wanaidai serikali malimbikizo ya madai mbalimbali ikiwemo kupanda...
Habari wadau,
Mimi ni graduate wa food science mwaka jana sijawahi fanya interview kabisa kwenye maisha yangu.
Nimebahatika kupita written kwenda oral nafasi ya nutritional officer naombeni...
Habari
Mm ni kijana wa kiume natafuta kazi
Umri miaka 24
[emoji117] Kuuza duka [ uzoefu miaka 2 ]
[emoji117] Kutengeneza mikate , donati, skonzi
[emoji117] Wakala wa kutuma na kutoa pesa...
Iteni watu... Huo sio ungwana jamani. Mtu anafanya interview toka mwaka jana mpaka leo hajapangiwa place ya kufanya kazi, ila utakuta wengine wameitwa kwenye interview na within 3 weeks wameitwa...
Natafuta space ambayo kuna utulivu na kuna unlimited internet Dar es Salaam. Iwe coworkspace ya kulipia au naweza kukaa kama mteja wa vinywaji lakini nitaenda na laptop yangu kwa ajili ya kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.