Habarini wana jukwaa,
Tafadhalini naomba kazi niweze kujimudu na kumudu familia kiuchumi.
Hali ni tete naelekea kukata tamaa.
Ni kijana wa miaka 32.. ni mwepesi wa kazi na pia nakuwa mwepesi...
Nimehitimu 2021 kazi ya ualimu kwa yeyote mwenye connection za shule (chemistry & biology)
Pia hata primary nafundisha
Nicheki kwa namba 0743303233
>Bachelor of science in chemistry and...
Habari za mchana,
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja. Mimi nilihitimu chuo kimoja maarufu hapa nchini mwaka 2015. Tangu mwaka 2015 nlikuwa naishia tu kupata viajira vya kubangaiza bangaiza...
Habarii ndugu zangu Watanzania,Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii (ordinary diploma in civil engineering) kutoka chuo Cha ufundi Arusha mwaka 2020.Natafuta kazi kwenye sekta...
Age 25, mkazi wa kigamboni. On serious note natafuta kazi za jioni / night shift.
Mwenye connection au idea ya sehemu kind naombeni connection ya Kazi. Huku uraiani sio poa mambo ni tight kinoma...
Wakuu habari.
Nauliza kupata uzoefu kuhusu usaili wa maandishi/ kuandika/ written test wa mashirika yanayo hudumia wakimbizi. Kuna dogo kaitwa akafanye interview shirika moja hivi.
Tumsaidie...
Huu uzi ni muhimu kwa wale wote wenye viashiria vya kuja kuwa mjasiriamali na anayejisimamia mwenyewe kwenye biashara zake.
Wapo watu wanaishi katika mazingira magumu sana ingawa bado wapo kwenye...
WanaJF nakuja kwenu kuomba kazi ya Ualimu wa Kingereza. Iwe msingi au sekondari popote naweza kufundisha. Nimemaliza UDSM pale na nina Upper Second (3.8).
Pia nina uzoefu wa kufundisha zaidi ya...
Mimi nikijana mwenye mika 28 ninaishi mkoa wa Tanga nimehitimu chuo mwaka 2021. Kwa sasa nimejitolea katika hospitali ya wilaya. Natafuta kazi mkoa wowote na wilaya yoyote.
Kwamawasiliano na...
Samahani nirudi kwenu niliwahi kuandika humu kuhusu kuomba kazi au volunteer ila sikufanikiwa kupata, narudi kwenu kuomba msaada maana mtaani kugumu.
Mimi ni graduate mwaka huu, nipo Kanda ya...
Habrini ndgu zangu wana JF mwenzenu naomba kuuliza hivi ni kipi chenye michongo mitaani kati ya master au undergraduate degree? Tujaribu kushare idea kama vijana ili tusijekupoteza muda wa kusoma...
Kwanza napenda kuipongeza sekretarieti ya ajira kwa kuwasaidia vijana ( watoto wa wakulima ) kupata ajira serikalini sababu bila ya nyinyi hali ingekua ngumu sana kwa sisi walalahoi kupata ajira...
STATUS: JOB SEEKER
EDUCATION: BACHELOR OF ARTS IN HUMAN RESOURCE MANAGEMENT.
LOCATION: DAR ES SALAAM
SEX:MALE
EXPERIENCE: ONE YEAR IN SALES AND MARKETING
Wakuu samahani, naomba msaada namba ya kuomba kibali Cha kuhamia kufanya kazi vyuo vikuu, kutoka kwenye shule ya sekondari (halmashauri).
Ikiwezekana na sanduku la posta ni lipi.
Nina Ordinary Diploma ya Famasi sasa najaribu kuingiza taarifa zangu kwenye Ajira Portal hasa Education level ila siioni option ya Ordinary Diploma(Level 6) nimeona Advanced diploma na Higer...
Habari wana JF wote;
Kwa jina naitwa Adam Ramadhani, Nina umri wa miaka 25 na kwa sasa naishi mkoani Tanga. Nimefanikiwa kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu na kupata shahada ya Uhasibu na...
Yaani inakuja nafasi za ajira haswa Non Government Organization, qualifications wanataka 4 years working Experience!
It means wanatamani kuendelea kuajiri wazee?
Hizi ndio sehemu ambazo kwasasa zinafursa za ajira kwa mafundi kujenga, umeme, Rangi nk
1. KIGAMBONI, Maeneo mengi ya Kigamboni kwa Sasa yanaendelea na ujunzi wa nyumba, shule, na majengo...
Natumaini nyote ni wazima wa afya njema.
Natafuta kazi ya aina yoyote, ambayo itaweza nipatia kipato ambacho kitanisaidia kupata walau chakula na malazi. Ndani na nje ya Dar es Salaam.
Taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.