Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari ndugu, Nahitaji mwalimu wa Mathematics Class V, VI and VII. Pia nahitaji mwalimu wa Class one jinsia ya kike Kama yupo tuwasiliane ADDRESS Physical: Banana-Kitunda Dar es salaam Postal...
3 Reactions
7 Replies
695 Views
Naitwa Yohana Kanyamala, natafuta Kazi katika fani ya Secretary (Katibu Muhtasi) Nina ujuzi mbalimbali pia, kama kutumia kompyuta na nyinginezo
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Unajua vijana hamjitumi kijana una degree unaomba kazi ya hovyo. Ningekusaidia ila ujanifata PM (mtu anaesaidia hana manyanyaso)....ndio maneno yao kila siku na kwa kila mtu. Guys Ili ni jukwaa...
18 Reactions
63 Replies
2K Views
Habari za muda huu ndugu zangu wa kurasa yetu pendwa,Natumai mko na afya tele na poleni kwa majukumu ya kila siku ya kujitafutia kipato. Lengo la kuandika ujumbe huu ni kwamba niko na cheti cha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello kwema? Natafuta Nurse/Medical Assistant awe amekamilika vyeti vya taaluma husika. Eneo la kazi ni Mbezi mwisho barabara ya kuelekea Kinyerezi Dar es Salaam. Awe tayari kufanya kazi shift...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu baada ya miaka mingi ya elimu sasa umefika wakati wa mimi hapa kijana wenu kupanda jukwaani kwa ajili ya kuomba connection pamoja na kazi ikiwezekana Nimemaliza mwezi huu katika...
3 Reactions
4 Replies
560 Views
Nafanya kazi za wiring nzuri kwa bei ya kawaida tu ya Mtanzania, naenda popote pale kikubwa maelewano. Nina uzoefu wa wiring na pia sidharau kazi kama una kifaa chochote cha umeme unaitaji...
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Kama bango linavyo jieleza wakuu. Nimeshachukua ma ushauri kibao nimeyafanyia kazi lakini wapi,utasikia CV yako andika hivi , nenda kwenye kampuni X kapeleke CV , nakutumia tangazo la kazi u...
19 Reactions
78 Replies
6K Views
Hello, I hope this message finds you well. I am reaching out to you to share an exciting internship opportunity available at our organization. We would greatly appreciate it if you could kindly...
3 Reactions
2 Replies
712 Views
Salaam ndugu wana JF, Bila kuwachosha, nataka kuomba kazi ya kufundisha Chuo kikuu kama Assistant Lecturer katika masomo ya sayansi. Kiukweli uzoefu wa teaching, research na consultance kama...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Interested parties are hereby invited to tender for the supply of the following; “The supply of maize to The School of St Jude, Sisia Campus, Moshono, Arusha”. Bidders are invited to submit their...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Habari zenu wakuu , kitaaluma mim ni mwandishi wa habari naomba mwenye kazi jamani kwasasa nipo tayari kufanya kazi yeyote ile ,iwe usafi ,carwash ,dukani kikubwa iwe ya kwenda na kurudi ...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari Wanajamii Wenzangu. Naitwa Sanga natafuta kazi yeyote halari ya kuniingizia kipato. Elimu yangu ni Chuo kikuu ngazi ya bachelor degree in Economics and international Trade. Nina uzohefu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I have a Certificate in Sales and Marketing and over six years of experience in Sales based on Fast moving consumer goods, I am confident in my ability to make a significant impact in sales and...
0 Reactions
9 Replies
907 Views
We are seeking a highly motivated Sales Representative to lead our wholesale expansion efforts. As a Sales Representative for wholesale sales, you will be responsible for identifying potential...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari. Kwa sasa fani yangu...
4 Reactions
46 Replies
7K Views
Mtu aliyesomea shipping and logistics management anafanya kazi sehemu gani?
0 Reactions
2 Replies
873 Views
Wakubwa I hope mko powa! Nilikuw na uliza Kwa wale wenye enough understanding na maswali ya information technology ni field ipi inauhitaji mkubwa tanzania Kati ya hizi 1.networking 2.database...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom