Hello,
Natafuta watu wenye uzoefu wa kazi hizi.
-Marketing.
-Sales
Wakiwa jiji la Mwanza watapata kipaumbele. Tuma cv yako. Only shortlisted candidates will be contacted.
Mimi Nina Bajaji RE 250 Nimeinunua Mwezi Wa 3 ipo Arusha, Kazi Zangu Nyingi Zinanifanya Nisiwepo Arusha Hivyo Usimamizi Unakua Mdogo Na Madereva Wakishajua Haupo Wansumbua kutoa Hesabu Ya Day...
'Peking Healthcare’ A newly growing company located in Ilala -Dar es salaam which offers a quality health service is looking for competent candidates to join the team at one of her dispensaries...
a maelekezo mpigieni huyo jamaa atawaelekeza coz it's one of those wanaofanyisha interview 0752153535
All the best for all job seekers.
Kindly share for others too.
Je, unahitaji kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wako?
Nikaribishe nikuhudumie.
Fani: Mwalim (Bachelor of education in science)
Masomo ya kufundishia: Biology & Geography.
Chuo: Mwenge Catholic...
Sifa za mwombaji
1. Kijana anayejituma
2. Anayejua kuandika na kusoma
3. Mkazi wa kigamboni
4. Atakayeweza kufanya kazi kwa siku sita za wiki
5. Mwenye mdhamini aliyemkazi wa kigamboni na awe na...
Habari ndugu zangu, natafuta kazi au kibarua chochote halali ili niweze kujikimu kimaisha.
Kwa mwenye connection ya kazi au kibarua hasa maeneo ya Ifakara tafadhali naomba aniunganishe.
EMPLOYMENT OPPORTUNIES AT LODHIA GROUP OF COMPANIES
Lodhia Industries is one of the leading and fastest growing steel & plastic manufacturers inTanzania and is currently operating out of two...
Naomba kuuliza utumishi wanaweza kukuplace kama ulikuwa data base Katika nafasi nyingine inayoendana na kada yako, je ishawahi mtokea mtu na huchukua muda gani?? Utajuaje?
Nakuja tena kwa mara nyingine kuomba nishikwe mkono.
Natafuta ajira kwa muda mrefu nilishakuja hata hapa JF kuomba kushikwa mkono lakini sikufanikiwa.
Jitihada hazishindi kudra, nimepambana sana...
Naitaji mtu anayeweza kupika chakula cha Kichina.
Awe anajua kuongea Kingereza/Kichina vizuri zaidi.
Kazi ni ya kukaa hapo hapo.
Nyumba ipo.
Naitaji mtu aliye na uhitaji (serious)
Mawasiliano 0745...
Mashiirika ya umma kama vile Kibaha Education Centre yanayomiliki shule, walimu wake hutumia ngazi za mishahara za PSTS tofauti na walimu chini ya Tamisemi wanaotumia ngazi za TGTS.
Mwalimu...
Mimi ni mjasiriamali mdogo ninatengeneza chama za watoto (jamii ya popcorn kwa kizungu corn puffs). Pakti ziko designed kuuzwa sh 200 Moja kwa muuzaji wa mwisho, wewe kama wakala nitakuuzia...
Anahitajika mtaalamu wa kuandika proposal kwenye entertainmnet business. Pm hapa tuanzie hapa platform kubwa hii
Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
Kwanza Kama Kuna kazi hata ya 250,000 niunganishe nipate riziki
Sikuhizi uhakika wa maisha upoje katika masuala ya kazi na Ajira maana maana nashangaa mpaka mtu uwe na uhakika kabisa wa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.