Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
KAMPUNI YA SAMSA LOGISTICS INATANGAZA NAFASI ZA KAZI ZA MADEREVA 15 ZA MAGARI MAKUBWA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 20 nimehitimu chuo taaluma ya uwalimu ninasubiri ajira kwa sasa natafuta kazi ya kufanya Pia nina ujuzi katika computer operations. Kazi sio lazima iwe ya kufundisha...
1 Reactions
11 Replies
917 Views
Wana JF kwema? Straight to the point, najua JF is the home of great thinkers na inajumuisha watu mbalimbali wenye uelewa katika mambo mengi hivo Uzi wangu upo mahali sahihi kabisa, naomba ushauri...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Naomba kujua utofauti wa kazi au majukumu ya afisa mipango(Planning officer) na mchumi kwenye maeneo mbalimbali ya halmashauri au taasisi mbalimbali za serikali. Anayefahamu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Position: Senior Specialist; Enterprise Architect (2 Posts) Location: Head Office, HQ Purpose: Leading the practice and introducing the overall technical vision for solutions that are intended to...
0 Reactions
1 Replies
307 Views
Kwa sasa swala la ajira tz limekuwa ni bahati na sibu kama kubeti yan unaweza kuwana na uzoefu na sifa zote mpaka za ziada na ukakosa kazi. Ebu fikiria kuna watu wamepata ajira hata ukiwaita...
18 Reactions
68 Replies
3K Views
Habari nimeamua kuadika uzi huu kwa lengo la kusaidiana hasa kwa wale pata shida kwa kukosa ajira na kuishi kulimbikiza stress kichwa na wakti mwingine kufikia kujiwazia mabaya katika maisha yao...
19 Reactions
731 Replies
81K Views
Position: Liquidity Risk Analyst Location: Head Office Purpose: To assist the Head; Market Risk to effectively assess and report on the Bank's liquidity risk. Main Responsibilities Develop and...
0 Reactions
1 Replies
328 Views
Habari wana jamvi, Mimi ni mwanaume single baba, ninatafuta msichana wa kunisaidia kazi nyumbani kwangu, mimi natoka asubuhi na ninarudi usiku, watoto wapo wawili niwadogo sana, ninaishi king’azi...
14 Reactions
63 Replies
7K Views
Position: Environmental and Social Management Systems (ESMS) Officer Supervisor: Head of Monitoring, Evaluation and Learning Duty Station: Unguja, Zanzibar, Tanzania. Start Date: As soon as...
1 Reactions
0 Replies
343 Views
Position: Senior Network Specialist (CORE) Location: Head Office, HQ Purpose: Plan, organize and deliver cost effective, efficient, and highly available Core network infrastructure services that...
1 Reactions
1 Replies
308 Views
1. Kama wewe umesomea Bachelor of Engineering (B.Eng) kwa mfano umesomea Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering/Electrical Engineering kama nafasi imetangazwa na imetaja inahitaji mtu...
10 Reactions
481 Replies
112K Views
Habar zenu wadau, mimi ni kijana wakiume elimu yangu ni diploma ya ualimu wa secondary history and geography. Natafuta ajira yoyote ile kwa malipo yoyote yale, nipo arusha.
1 Reactions
2 Replies
620 Views
Umri: 38 years Elimu: Kidato cha sita na computer course. Uzoefu: Ualimu wa computer na kazi ya Patron shule ya sekondari. Uwezo: kufundisha computer, kiingereza na kazi za malezi kwa vijana...
0 Reactions
1 Replies
484 Views
Mimi ni kijana, nakuja kwenu wanajamii, natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu mahali popote. Nina uzoefu katika kufundisha( nimefundisha tuition muda mrefu), kilimo hasa cha bustani na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naitwa martine niko Moshi miaka 20 elimu certificate ya Irrigation Engineer, natafuta kazi naongea lugha 4 Spanish, English, Kiswahili na Kichaga. Hata ukondokta mabus ya mkoani.
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Habariii wakuu? Husika na kichwa hapo juu natafuta kazii katika makampuni yeyote ya ujenzii wa nyumba au barabara nipo tayari kufanya kazi sehemu yeyote. Mimi ni mhitimu wa stashahada ya...
1 Reactions
1 Replies
697 Views
Habar wakubwa kwa Wadogo, Mimi hapa mbele yenu n mkandarasi (Registered Contractor) upande wa Umeme na Mechanical (Mitambo). Nimekuwa Registered mwaka jana. Kabla ya kuwa Mkandarasi nilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Waungwana mpo, habari za majukumu! Niende kwenye mada husika. Mimi nilikuwa nafanya kazi sekta binafsi kwa muda wa miaka mitatu, nikaacha. Baada ya muda wa miezi miwili nikaanza kufanya kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba nijue mwenye uzoefu na makaa ya mawe yaaani migodi ya makaa ya mawe kwa wastani fundi welding huwa analipwa Bei gani baada ya makato.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom