Job Advertisement: General Manager at Rendo Tanzania Limited
Company Overview:
Rendo Tanzania Limited is a newly established and dynamic distribution company specializing in the distribution of a...
As a Retail Shop Manager at Komonoya, you will be responsible for overseeing the daily operations of our retail shops in Dar es Salaam. Your primary focus will be on providing excellent customer...
Umri: 26
Jinsi: Me
Elimu: Shahada ya Ualimu (Chem na Bio)
Matumizi ya computer (Microsoft office package basics)
Na uzoefu wa uwakala wa huduma za kifedha pia.
Nipo tayari kujifunza kazi yoyote pia.
Habarini ndugu, jamaa na marafiki.
Mimi ni mwalimu wa Chemistry na Biology. Nina uwezo wa kufundisha primary, secondary na advanced level. Nipo mbeya.
Please mwenye kujua shule yenye uhitaji au...
Habari za muda huu nawapea pole na changamoto za hapa na pale wana JF wenzangu.
Ndugu zangu mimi nimekuja na UZI huu kwa lengo la kupata ushauri. Nilikimbia nyumbani nikaenda Lindi, wilaya ya...
Habari wakuu, mimi ni mwanaume ninayehitaji msaada wenu, mambo yamekwama na hayaendi kabisa.
Nimejaribu kupita huko na huko lakini bado sijafanikiwa, mdau yoyote atayeweza nisaidia nipate mahali...
Mimi ni mwalimu wa masomo ya Biology na Agricultural Science.
Jinsia yangu ni F.
Nina Bachelor of Science with Education in Agricultural Science and Biology kutoa Sokoine University of...
Habari.
Kwanini serikali ya Tanzania kupitia wizara ya afya na wizara ya TAMISEMI wameweza kupitisha muongozo wa ajira za kujitolea katika hospitali za mikoa na wilaya na zikitaka Hospitali hizo...
Hello, Habari,
Natafuta kazi ambayo ninaweza kuifanya kwa malipo yeyote kadri ambavyo tutakubaliana na muajiri kulingana na ratiba yangu.
Umri: Miaka 27
Elimu Diploma ya Ualimu wa Sekondari somo...
Habari zenu wadau kwa wale wanaofahamu hali ya mishahara ikooo vipi kwene kampuni hii
Nimeitwa kazini ila swala la mshahara bado sijaambiwa baada ya kufanya interview
Sent from my SM-A037F...
Habari wanajukwaa natumai wazima,
Jamani mimi nina umri( 26) nina elimu ya form six. Nimeamua kutimuka nyumbani kabisa kisa mzee mtata kweli kakataa kuniendeleza chuo na pia hataki nitafute vya...
Kama mnavyojua eneo la kazi ni eneo lenye changamoto nyingi kama vile umbea,kupigwa majungu, kupakaziwa kesi,unafiki na fitina makazini.
Pia bila kusahau kazini kuna masinitch , waongo , n.k...
Kama wewe ni web designer mzuri nipe ofa yako PM kwa ku-design website kama hii ya Findel International. Biashara yangu ni kama yao 100%.
Kitu ambacho sitataka kama wao ni huo mfumo wa malipo...
Habari wanajukwaa,
Leo tugusie kidogo visa na vioja makazini. Kama mnavyojua kazini ni sehemu ya kutafutia riziki na wahenga walisema penye riziki hapakosi fitina Vimekuwa vikishuhudiwa visa na...
Habari wana JF,
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema, mm ni mkazi wa tanga natafuta mfanyakaz yoyote wa huaxin Cement Nina shida naye..kama hatojali naomba sana anitext PM
Sent from my...
Bila shaka mu bukheri wa afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku.
Leo ningependa tujadiliane kidogo kuhusiana na manufaa tuyapatayo sisi Wahandisi tuliosajiliwa (Professional...
Habari, poleni na majukumuu ya kazi Kuna rafiki angu kaomba ushauri juu ya hili swala nimeshindwa kumshauri naombeni mawazo yenu
kama kawaida katika kupambana na utumishi akafanikiwa kufika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.