Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari zenu, Naomba wenye uelewa wa haya mambo ya Serikali mtoe ideas kuhusu swala zima la mtu kutaka kuhama kabla ya kuthibitishwa kazini, hii imekaaje. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa MTU anaueajiriwa na serikali na anaanza a mshahara wa TGSD baada ya makato yote pamoja na deni la mkopo wa bodi ya mkopo atabakiwa na kiasi gani. Nisaidieni wandugu. Naombeni kikokotoo please.
4 Reactions
60 Replies
5K Views
Jamani naomba mnisaidie nafanya research nataka kufahamu makampuni/mashirika ya uma kumi bora kwa ulipaji mzuri wa mishahara pamoja na marupurupu na faida za ziada kama matibabuna mengineye...
0 Reactions
105 Replies
39K Views
Kampuni ya affluence training ltd inahitaji vijana wawili (2) [wakike au wakiume] kufanya kazi kwenye idara ya masoko - kazi ya kupiga simu kuwasiliana na wateja juu ya huduma za kampuni. Sifa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
VIGEZO 1. Uzeofu wa miaka 1-5, Ajue aina zote za pikipiki. 2. Cheti cha ujuzi. 3. Leseni ya udereva. muhimu kuzingatia 4. Awe mwepesi kwenye mawasiliano. 5. Umri usiopungua miaka 25 -35 6...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Nina umri wa miaka 28 ninaishia Bagamoyo maeneo ya Mapinga shule ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 7 na Secretary hivyo ninaouzoefu mkubwa...
0 Reactions
2 Replies
307 Views
Katika pita pita zangu kutafuta ajira huko LinkedIn, nimekutana na hili shirika limeweka job post, kwenye Tangazo wameandika kazi itafanyika kapiti-singida lakini nilipoenda kwenye website yao...
0 Reactions
5 Replies
639 Views
Habari zenu WanaJf,Kama kichwa Cha uzi kinavyosema.Anahitajika mtajwa hapo juu (serious business). Maelezo zaidi pm yangu ipo wazi. Nb: Sihitaji madalali Wala wanaojifunza, nahitaji wenye uzoefu...
0 Reactions
2 Replies
582 Views
Tushaingia kipande cha pili cha mwaka 2023. Binafsi kuna malengo sijatimiza maana mifuko haijakaa poa kabisa. Mishahara haiongezeki ila majukumu sasa... dah! Kwa July hii michongo imejificha wapi...
3 Reactions
0 Replies
381 Views
Nimeona tangazo la nafasi za kazi kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kwa nafasi mbali mbali. Maswali langu ni: 1. Imekuwaje TRA wamejipa(kama ni kweli) jukumu la kuanza mchakato wa...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Usiombe nafasi hii kama kweli wewe siyo bora na unaweza kuthibitisha hilo. Utaingiza kipato cha laki 3 kwa mwezi kama utafanya kazi kawaida, milioni moja kama utajituma na mpaka milioni tatu kama...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Mimi ni fresh graduate wa Civil engineering last year naom mwenye connection ya kazi interniship, seap vacant naomba anisaidie mkoa wowote
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta kazi ya kufundisha Kifaransa kwa shule za msingi na za sekondari. Naishi mjini Kigali, Rwanda na ni mwalimu. Nilisoma lugha katika shule za sekondari (Kiswahili,Kifaransa, Kingereza na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu yangu musidanganyike Kuna watu wanadanganya wenzao waombe kazi sehemu ambazo hata hawana malengo nazo kwa lengo la kuhama wakishalata ajira. Utajuta uhamisho ni kipengele.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari marafiki, Kuna ndugu yangu yuko Dar es Salaam kwa sasa, anatafuta kazi ya udereva popote pale ndani ya Tanzania. Ni dereva mzoefu wa kuendesha magari makubwa, malori na magari madogo kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuuuu kwa anayeweza kutoa msaada au connection ya kazi ya udereva. Namwombea baba yangu. Ana leseni class D, E, G ni mzoefu wa magari miaka mingi. Mwenye connection au maelekezo naomba msaada...
0 Reactions
1 Replies
538 Views
Kwema Wakuu! Leo sina mengi ya kusema. Ninatafuta kijana awe wa kike au Wakiume aliyesomea mambo ya Management Kwa ngazi ya Shahada. 1. Awe na uzoefu walau Mwaka mmoja. 2. Elimu kuanzia Shahada...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
1. Hii kazi mshahara 250k ila take home 200k baada ya makato. 2. Muda wa kuingia kazini ni saa 10 usiku na kutoka saa 6 usiku na hakuna overtime 3. Muda wa mapumziko ni saa 7 mchana hadi 8 baada...
24 Reactions
78 Replies
6K Views
Back
Top Bottom