Mimi ni mwalimu wa masomo ya biolojia pamoja na kemia, Graduate(UDSM) Ninatafuta kazi.
Nimetuma maombi sehemu mbalimbali kwa njia ya email na watsup lkn sijaitwa hata sehemu moja.
Ninaomba...
Habarin Wana JF heshima yenu wote 🙏🏾 natumaini wote ni wazima kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima anao tujaalia kila siku itwapo Leo....
Ndugu zangu mbele yenu ni kijana mtanzania nina ishi...
Ndugu zangu, Nawasalimu.
Nina miliki boti ya uvuvi yenye uwezo wa kuvua bahari kuu, chombo kinaweza kubeba hadi tani moja na nusu ya samaki. Kwa mazingira yetu ya Kitanzania, chombo hiki ni cha...
Wakuu habari zenu,
Hongereni na majukum na poleni kwa yale magumu yanayotuandama.
Nimekuja kwenu wakulungwa. Kama Kuna dereva wa hizi gari kubwa, au kwa namna yoyote unahusika na hizi gari kubwa...
Tulitangaziwa makazini kwamba uhamisho wa kada ya afya ni mwezi wa 9 na wa 3 lakini mwezi wa 3 ushapita na hakuna taarifa yoyote. Kama mmeshindwa kufuata huo utaratibu mliouweka si bora muendelee...
Habari za leo ,Mimi nina degree ya uhasibu pia Nina uzoefu wa cashier kwa miaka 5. Pia nimeaomea udereva na uzoefu wa mwka mmoja nikiendesha bolt,naendesha auto na manual.nipo tayari kwa kazi...
Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa...
UPSCALE SHOP MIKOCHENI iliyopo DAR ES SALAAM inawatangazia nafasi ya kazi UHIFADHI WA KUMBUKUMBU ZA BIDHAA (DATA ENTRY RECORDS).
SIFA YA MWOMBAJI
* Awe amehitimu elimu ngazi ya DIPLOMA/DEGREE...
Nimekosa nafasi ya usaili nikiambiwa sikuhakiki vyeti kwa mwanasheria ilihali nilifanya hivyo na vyote kwenye mfumo vimehakikiwa
MIMI NIMEKOSA KUITWA USAILI HIZI AJIRA 800 ZA MAENDELEO YA JAMII...
Tusaidiane wakuu,
Naomba kujuzwa ilipo ofisi za Unique Consultancy Service na ninachojua ni kuwa wapo kwenye jengo la New Red Cross Building ila tatizo ni kwamba sijui maeneo lilipo hilo jengo na...
Hivi kwanini hili swala la walimu wakitoka kusoma na wakapeleka vyeti vyao sehemu husika na wakabadilishwa muundo huwa hauna impact kwenye mshahara wao.?
SANA SANA inapelekea kutopanda madaraja...
Habari,
A Sales and marketing officer is needed. (Cheti sio muhimu )
Skills needed
1. Deals closer
2. Uwe na ushawishi
3. Marketing skills
NB : Should be able to help reach monthly target
Salary...
Nashida ya kazi, nilipokua nafanya kazi Kampuni imefungwa.
Jamani hata iwe ya maslahi madogo ile iwe ya uhakika tu, hata kazi ya usaidizi ofisini, hata dukani.
Hata kazi ya kusimamia choo cha...
Habari wana Jukwaa hili.
Kampuni ya STAR OIL inahitaji mtu ambaye ni mjuzi wa kutengeneza pump za petrol station. Ambaye itamwajiri moja kwa moja. Kazi yake kubwa itakuwa ni kutatua changamoto...
Name: Hamza Issa Omary
Proffesion: Driver/ Teacher
Education level: Bachelor Of Arts and Education since 2015
Subject: History and Swahili
Language: English and Swahili fluently
Location: Dar es...
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 36 natafuta kazi yoyote halali mkoani Arusha.
Nina cheti cha hoteli na pia nina uzoefu wa mwaka mmoja katika kazi ya House keeping na upishi wa pizza.
Mnaojiandaa na usaili wa utumishi nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii, tupeane mbinu za kutoboa usaili.
Una uzoefu wa hizi saili share tujue zinakuweje, eneo gani la kusoma sana wakati wa kujiandaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.