Habar naitwa Samson kijana nilesoma stashada ya utabibu (diploma in clinical medicine)natafuta kazi nipo tayari kufanya kaz katika mazingira yoyote.....!!! Kama kuna mtu anahitaji kijana wa...
Wakuu kuna kampuni nimepata kazi ila nipo ktk kipindi cha probabation period
Je ni mambo Gani ya kuzingatia kipindi hiki kwa mwajiriwa wako
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Habari,
Natafuta ajira yoyote inayoendana na elimu yangu na hata nafasi ya ajira nyingine zozote kwasababu nina uwezo wa kujifunza haraka na kuendana na mazingira mbalimbali.
Natanguliza...
Habari,
Naitwa MGISHA M. ANDERSON kwa sasa ni mwanafunzi wa sheria mwaka wa pili katika chuo kikuu cha ushirika Moshi, nina diploma ya sheria natafuta sehemu ya kujitolea ili niweze kujifunza...
Habari wadau,
Huu ni uzi spesheli kwa waliowahi au walioajiriwa, kwa wale wataalamu wakujiajiri hapa siyo sehemu sahihi.
Kuna njia mbalimbali ambazo watu huzipitia ili kufikia kwenye ajira, wapo...
[emoji845]NISAIDIE KUPATA MCHONGO[emoji845]
Nina degree ya
COMMUNITY ECONOMIC DEVELOPMENT.
[emoji419]Naitafutia uzoefu ili badae niweze kuwa na chochote kwenye CV na kuombea Kazi.
Nisaidie hata...
[emoji845]NISAIDIE KUPATA MCHONGO[emoji845]
Nina degree ya
COMMUNITY ECONOMIC DEVELOPMENT.
[emoji419]Naitafutia uzoefu ili badae niweze kuwa na chochote kwenye CV na kuombea Kazi.
Nisaidie hata...
Habarini,
Nina barua yenye check namba, niliyoambiwa kwamba nionapo tangazo mamlaka yoyote ya ajira nchini ikiwemo sekretarieti ya ajira niombe ili niweze kupangiwa kituo kulingana na uhitaji...
Habari wana jamvi, bila shaka mko poa. Poleni kwa hoja za bandari na DP World.
Sasa kuna jambo naombeni wajuzi mnisaidie, hivi pesa stahiki anayopaswa kulipwa mtumishi wa ajira mpya zinazotolewa...
Natafuta ajira yoyote inayoendana na elimu yangu na hata nafasi ya ajira nyingine zozote kwasababu nina uwezo wa kujifunza haraka na kuendana na mazingira mbalimbali. Natanguliza shukrani za...
Habarini Wana JF
Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili nasoma Bsc in chemistry. Hivyo nahitaji kujitolea wakati wa likizo kuanzia mwezi wa nane Hadi kumi na moja. Mwenye connection kiwanda...
Interested parties are hereby invited to tender for the supply of the following; “The supply of beans to The School of St Jude, Sisia Campus, Moshono, Arusha”. Bidders are invited to submit their...
Habari za humu wana jukwaa wenzangu, Mimi ni kijana natafuta kazi yoyote itakayo niingizia kipato
¤Umri wangu:25 yrs
¤Elimu: Form Six
Nawaombeni ndugu zangu nipo Kilwa-Lindi
Contacts:0623217775...
Wakuu kwema, wakubwa zangu hali tete, naomba kwa anaefahamu majina ya makampuni yanayoajiri wadada kwa kufanya usafi maofisini na mahali ofisi zao zilipo anitajie nikajiunge walau nipate chochote...
Kwa wale vijana wenzangu mnaofanya kazi kwa dunia ya leo inavyokwenda unapokuwa na kazi hakikisha kwa pembeni una biashara yako au kampuni yako ya itayokuwa inakupa kipato.
Mambo ya makazini...
Habari
Natafuta kazi yeyote ambayo nitapata kipato japo hata 10,000 kwasiku maana majukumu yamenizidi wazazi hawapo vizuri kiuchumi na mzazi wa kiume(Baba wa Familia) alifariki inanilazimu...
Msaidizi wa kazi za IT Anahitajika.
Vigezo
Awe anajua kusoma na kuandika vizuri kiingereza
Awe na simu ya smart phone
Awe na uelewa kiasi jinsi ya kutumia computer
Awe anajua kutype kwenye...
Kwa wale walimu na wa afya tukutane hapa uku tukisikilizia PDF soon litashushwa hapa. Iwe tetesi ama laa karibuni wakuu. Nimesikia wiki ijayo linatema hapa pdf mishale ya tarehe 15 hapo June
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.