(Eneo la salamu na utangulizi )
Mfano, ufanye kazi ya ukonda, kwa siku uweke mfukoni 30-50k kwa mwezi hio ni 900-1.5M ila huipend wala haikupi amani ya moyo (Yan kwa kifupi unaichukia kazi)
Au...
Mwenye kujua usahili wa tangazo hilo la kazi maana mpaka sasa kwenye app ya ajira portal hakuna notification yoyote zaidi ya Ile RECEIVED tu.
Na kama wameanza na kazi waseme tujue ili mtu asiweke...
Habari ndugu zangu.
Mimi ni muhitimu wa elimu ya shahada ya kwanza katika kitivo cha sheria na vipimo vya viwanda ( Legal and industrial metrology) katika chuo cha elimu ya biashara Dar es salaam...
Habari wanajamvi,
Kwa mtu mwenye uhitaji wa professional HR anicheck DM.
Kwa sasa ninaishi Dar es Salaam ila naweza kufanya kazi sehemu yoyote.
Natanguliza shukrani.
Habari zenu wana Jamiiforums, it has been a while..
Leo nmekuja na hili wazo.
Kipindi cha karibuni bodaboda zimekuja kurahisisha sana upatikanaji wa usafiri hasa hapa Jijini Dar,
Wauzaji wa...
BOARD MEMBERS VACANCIES
CRDB Bank PLC is a leading commercial bank in Tanzania. Established in 1996, the Bank has grown and prospered over the years to become the most innovative and trusted Bank...
Habari zenu ndugu zangu. NATAFUTA FUNDI !
Nimepata bahati ya kusafiri Asia na nikakutana na ubunifu huu (picha hapo chini). Wenzetu bajaji zao sio za kusafirishia abiria tu, ila wana zi design...
Habari ya kazi samahani wakuu naomba nafasi ya kazi ya kusambaza bidhaa mbali mbali kwa wateja kupitia usafiri wa piki piki . Yeyote atakaye kuwa interested au ana mtu anaye tafuta mtu wa supply...
Nilikuwa dereva wa Uber katika Jiji la Dar es salaam kwa miaka minne, kwa sasa sina gari, natafuta mtu ambaye anaweza kuniajiri dereva wake kwa mkataba au njia ya kawaida.
Tafadhali Nifikie kwa...
Guys iyo initiatives wana afa ajira vitengo tofauti lakini changamoto inakuja pale ambapo wanataka ufanye IQ Test ambayo pia ni Paid almost 55Usd na wanakupa link ufanye wapi? kweli hii sio scams?
Habarini wakuu.
Majuma Kadhaa yaliyopita niliona post ya nafasi za ajira kutoka GLASER HEPATITIS B HEALTHCARE INITIATIVES (GHHI), katika page moja inayohusiana na mtangazo ya ajira...
Habari wana JF
Bila kupoteza muda niende kwenye mada
Nimekuja mbele yenu kwa yeyote atakaeguswa naomba kazi yoyote ile iliyo halali naweza kufanya iwe ya nguvu au isiyo na nguvu niko tayari...
Habari wakuu!
Uzi huu nimeuleta kwenye jukwaa la siasa ili ikiwezekana viongozi angalau wawili watatu wauone huenda wataamka.
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikuwa mgodini Bulyanhulu as...
Habari wakuu! napenda kuwajulisha kuwa nafanya kazi kama mhariri binafsi, kwa wale wanaojihusisha na uandishi wa vitabu, hadithi (simulizi), makala tofauti tofauti na kazi zingine za kiuandishi...
Peace and Love be upon you.
Nakuja mbele zenu nikiwa kama muhanga wa ajira za Tanzania hii baada ya kumaliza chuo na kusota mtaani with huge frustration. Nishaaply over 300+ job application...
Kichwa cha habari hapo Juu,Nahitaji kijana wa kiume anaejitambua mwenye usongo wa Maisha kama SIMBA
Sifa za Kijana ninae Mtaka :
Elimu yoyote
Ujue kutumia Computer (lazima)
Ujue kuendesha...
Habari waungwana mimi ni kijana mwenye umri 25. Natafuta kazi yoyote halali ili niweze kupata pesa ya kujikimu.
Nina Elimu ya kidato cha sita ila wazazi wangu wamekataa kata kunisomesha na kwa...
RUNGU lilianza wiki iliyopita pale vijana wa JKT walipoenda kwenye Usaili wa Magereza. Ikumbukwe kuna makundi mawili ya vijana wa JKT,la kwanza ni wale walioenda JKT kwa KUJITOLEA (hawa wengi huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.