Mimi naitwa fredy ni mwanafunzi wa chuoo kikui cha mtakatifu augustine saut mwanza. Nina swali moja tu naomba ushauri hii kozi inaajira au hamna maana naona haina mwelekeo
Kama unakipaji cha kutunga nyimbo tuwasiliane kuna Beat ipo inatakiwa kutungiwa nyimbo kali yenye melody nzuri kifupi HIT SONG.
Hakikisha unaujua muziki na unajua muziki unaotakiwa kwa sasa...
Wale wadau wa IT em tusaidiane mawazo jana nilifanikiwa kufanya mtihani wa TA information systems IFM lakini cha kunishangaza nilikutana na pepa ya system administrator...mpaka kuna swali 1...
JOB ANNOUNCEMENT
VACANCY TITLE:- ACCOUNTANT (1 Post) - FULL TIME
JOB AT: - T & B GROUPEMENT LTD,DAR ES SALAAM
RESPONSIBILITIES
Managing accounting and control, improve, and establish...
Habarini ndugu zangu…kama kichwa cha habari kinavosema , nimefanikiwa kuitwa kwenye moja ya oral-interview za tutorial assistant kwenye chuo x.
Lengo la uzi huu ni kuuliza kwa mtu yeyote ambaye...
Habari zenu wanaJF
Naomba kuuliza kwa wale waliokuwa-shortlisted MUCE, vip mmeona interview number kwenye account zenu? Maana mimi kwangu hadi sasa hivi hamna kitu na interview ni kesho.
Mimi n kijana mpambanaji hapa Mjini! Na ata kuna threads nyingine za nyuma mlishanishauri na sasa ni vyema tu mambo yanaenda vizuri namshukuru Mungu! Kwa uwepo wenu na mawazo yenu
ila mimi leo...
Job Title: Corporate Bank & Global Subsidiaries Group Head
Job Description
The County Business Head is a senior management-level position responsible for accomplishing results through the...
Habari!
Nahitaji vijana 10 hadi 20 ambao wanajihusisha na kazi ndani ya kariakoo, kwa lugha nyepesi bila kumumunya maneno nahitaji winga wa kariakoo nifanye nao kazi ya kufanya utafiti wa bidhaa...
Job Title: Procurement Officer
Duty Station: Mwanza
Job Description
We require a person who has Strong communication and negotiation skills. Good analytical and strategic thinking skills and...
Habari wakuu..
Wiki kadhaa zilizopita nilikua nikituma maombi ya kazi.. kutumia ajira portal.. nilikua naitwa kwenye usaili.. sikufanikiwa.. kufaulu..
Nikaomba mara ya pili sikuitwa.. sababu...
Habari Vijana wa JF,
Leo nianze kwa kutoa ushauri kidogo kwa wale wote wanaotaka kwenda kufanya kazi Ughaibuni hasa Saudia, Oman, Qatar etc.
i) Tujiandae na nafasi ambazo tunahitaji (you)
ii)...
Habari wana jukwaa!
Kijana anahitaji kazi ndogo ndogo za nyumbani e g usafi, bustani, gate keeper.
Umri miaka 19. Mwenyeji wa Dodoma
Pia kama kuna mwenye uhitaji wa housemaids tuwasiliane. Kwa...
Job Title: Logistics Officer (Post 11)
Report to: Officer
Duty Station: Dar es Salaam
Duties and Responsibilities:
Collect specimen from health facilities to the lab and test results from the...
Job Title: Chief Executive Officer
Job Type: Full Time
Reports to: Country Director
Experience: 12 years
Duty Station: Dar es salaam
Job Description
The CEO is responsible to provide strategic...
Samahani nimeitwa kwenye usaili ambao utafanyika tarehe 14/09/2022 chuo cha DUCE, Kwenye tangazo la walioitwa kwenye usaili nipo kwenye nafasi nne nilizoomba ila mpaka muda huu kwenye akaunti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.