Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Nina shahada sayansi na elimu (mwalimu wa chemistry na biology) Nimeoa naombeni mwenye connection ya kazi yoyote anisaidie kwani napitia kipindi kigumu Nina uzoefu wa kufundisha na pia na kazi...
2 Reactions
4 Replies
582 Views
Intern- Operations Assistant Description Callab Tanzania Company Limited is company established with the purpose of providing laboratory equipment testing and calibration services in Tanzania.The...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanandugu Anahitajika mtu wa kutoa dawa Awe mwanaume Umri kuanzia 23-25 Awe na cheti Cha addo Duka lipo Arusha monduli eneo la Engaruka,umeme maji masaa 24,huduma nyingine muhimu zipo...
1 Reactions
3 Replies
474 Views
Naitwa shedrack hussein salim natafuta gari ya mkataba nina uzoefu wa miaka6 kufanya kazi na bolt na Uber kama una gari mpya nitafute tutaongea kama amboyo imetumika pia tutaongea kama itafaa...
2 Reactions
3 Replies
705 Views
Jamani Nina interview kwenye kampuni ya freight-nahitaji mwenye uelewa na maswali wanayopenda kuuliza
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Leo nina moja la msingi kwenu sekretariati ya ajira zingatieni mwaka wa kumaliza masomo ya vyuo mnavoita wanasaili kwa ajili ya mchujo.. mtu aliyemaliza mwaka 2017 hawezi complete na mtu alomaliza...
5 Reactions
9 Replies
932 Views
Hello brethrens Naombeni ushauri/muongozo Ni Vigezo gani anatakiwa kuwa navyo mtu. Anaehitaji kufungua kampuni inayojihusisha na mapishi ya vyakula kwa lengo la kusambaza maofiseni na kupata...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za sasa hivi wakubwa. Mimi ni kijana wa kiume Umri 22 Afya njema Napatikana Morogoro Mjini, Niko hapa kuomba connection yoyote ya kazi au tenda za kufanya kwa ajili ya kupata pesa either...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Tangazo halina mbwembwe sana ni kwa yeyote yule mwenye elimu ya kidato cha nne na umri usiozidi miaka 33.
1 Reactions
141 Replies
16K Views
TECCO is an organization which provide loans to small and medium scale farmers and entreprenuers in Kondoa and Ruvuma regions. We are looking for loan officers at our branches( Kondoa and...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni siku nyingine tena na natumaini wote tupo salama, nimeleta uzi huu kwenu kwa yeyote mwenye ukaribu na tasnia ya filamu. Wakiwemo madirector, maproducer, wasanii na hata wahusika wengineo...
2 Reactions
6 Replies
955 Views
Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji. Wenu...
2 Reactions
83 Replies
3K Views
Mambo vipi wana JF unapo soma security system unaweza ajiriwa sehemu gani?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi ni kijana (me) Mwenye umri wa miaka 22 mwenye sifa ya cheti kidato cha nne natafuta kazi yoyote ya kuendana na elimu yangu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa mara nyingine nakuja kwenu ndugu zangu, ndugu yenu nimehangaika sana kutafuta nafasi kwenye majeshi yetu bila mafanikio, kiukweli nina nia ya dhati kabisa ya kulitumikia taifa letu...
10 Reactions
253 Replies
22K Views
Wakuu nimetimba hapa Duce aisee ni aibu. Kuna mazingira yote ya urasimu unaendelea kwenye interview zilizofanyika jana. Tulitegemea matokeo yawekwe kwenye sekretarieti ya ajira lakini haikuwa...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Mimi Ni kijana wa miaka 26 Nina shahada sayansi na elimu (mwalimu wa chemistry na biology) Nimeoa naombeni mwenye connection ya kazi yoyote anisaidie kwani napitia kipindi kigumu Nina uzoefu wa...
1 Reactions
3 Replies
768 Views
Wakuu habari zenu? Kam kichwa cha habari kinvyosomeka, naomba kwa yeyote anayefahamu anaiambie vitu/ vigézo vya msingi vya kizingatia kwa ajili ya KUFUNGUA KAMPUNI ya USAFI ila kupata tenda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari jamani mimi ni mgeni humu ningependa kujua mengi kuhusu interview za utumishi kwa upande wa latra kama kuna ambae ameshawahi kushiriki anipe hints kidogo.
1 Reactions
0 Replies
400 Views
Vodacom Early Careers Programmes 2022 (Programu za Ajira za Mapema za Vodacom 2022) Maelezo: Vodacom, tunafanya kazi kwa bidii ili kujenga maisha bora ya baadaye. Ulimwengu uliounganishwa zaidi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom