The Management of Sokoine University of Agriculture (SUA) invites suitable qualified Tanzanians to apply for positions of Assistant Lecturers and Tutorial Assistants.
SUA MIZENGO PINDA CAMPUS...
Position Title: General Manager
Reports to: Managing Director
Duty Station: Meatu, Tanzania
Role’s Summary:
The General Manager (GM) will oversee the group’s lodging and camp operations as well...
Nina uzoefu wa miaka mitatu katika taaluma hii,Natafuta makampuni au mashirika yanayohitaji huduma ya land and mine surveying.
Nina uzoefu katika kazi zifuatazo;
1. Building surveying
2...
Nina Elimu Diploma Ya Sheria Nina Uhitaji wa Kazi Exeperience ya Paralegal na Loan officer nipo Dar es salaam Nafanya kazi Mkoa wowote.
Namba Zangu ni 0789435341 Call/Whatsapp
Habari wakuu!
Naomba kujuzwa mwenye uelewa wowote kuhusu hawa jamaa wanaitwa Medicins Sans Frontieres (MSF).
Wameniita kwenye usahili na nimeona juzi waliita watu kama 100 hivi kwenye written...
Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Kesho (30-03-2021) saa 4 asubuhi ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu...
Tulifanya interview jana tarehe 14.09.2022 wakatuambia matokeo yatatoka kuanzia jana saa tisa, ila cha ajabu mpaka sasa ni bila bila hatujapata matokeo yeyote.
Sasa hatujui kama tumefaulu au...
Mimi ni binti miaka 26
Nina elimu ya stashahada ya utunzaji fedha naishi Kibaha Pwani.
Nipo hapa kuomba ajira ndugu zangu nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote 🧎🏻♀️🙏
Dereva mwenye uzoefu na mchapakazi anahitajika wa kupewa gari kwa mkataba awe na leseni class c na account za uber au bolt kwa mawasiliano zaidi piga 0783230603
Job Title: Packaging Team leader
Key Accountabilities
Creating/Maintaining a safe working environment and ensure all equipment within packaging is operated jn line with required Environment...
Job Title: Supply Chain Assistant
Employment band: I
Reporting to: Supply Chain Team Leader
Technical line manager: Supply Chain Team Leader
Direct reports: None
Unit/department: Support Services...
Job Title: Saccos Manager
Educational Qualifications and competencies
A degree in Accounting, Finance, Business administration or its equivalent.
Ability to delegate and monitor duties.
Strict...
Job Title: Head of Pricing, CVM and Business Analytics – MTMSL (Tigo Pesa)
Job Description
You drive adoption, penetration and ARPU of customers across all segments, products and services to...
Habari za wakati huu Wana JamiiForums wote.
Naitwa Peter John, Nina umri wa miaka 20, nimehitimu kidato cha nne mwaka 2020 na kupata ufaulu wa daraja la 2.
Natafuta kazi yoyote ya halali Kama...
Habari,
Mimi ni kijana ambae nimechaguliwa kufanya usaili kada ya pharmaceutical technician hospitali fulani.
Ombi langu kwenu kwa ambao tayari muna uzoefu wa hizi saili naomba munielekeze...
Habari kwa jina naitwa Elifuraha Lyimo nipo Mabibo,Dar es salaam natafuta kazi ni mwalimu wa shule binafsi upande wa shule za msingi kwa masomo ya Mathematics, Civic and Moral, Social Studies kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.