Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Anatafutwa mtengeneza kucha.Atakuja siku nne za mwisho wa week tu. Siku nyingine akafanye issues zake.Kwa maana kwamba atafanya kazi siku 16 tu za mwezi. Mshahara atachagua alipweje. 1. 200,000...
1 Reactions
4 Replies
542 Views
Ni wiki moja tu imesalia kuanzia kuajiriwa na serikali ili nikamilishe mwezi mzima....,kutokea Kagera hadi lindi kwenye ajira yenyewe nilitumia nauli yangu almost 150k jumlisha na familia zaidi ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi guys, naomba mwenye sample ya CV nzuri anisaidie. Nachohitaji ni ile format/template nzuri nimejaribu kugoogle ila sipati kile kitu nahitaji. Unaweza nitumia kwa email stevhinoz@gmail.com
2 Reactions
5 Replies
2K Views
ShIKAMONI Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nina hishi na ndugu yangu ni yatima mwaka 2015 ni mwaka nilio poteza wapendwa wangu Mpaka kufika hapa nimepitia mengi ya kuniumiza kila...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
  • Closed
naweza kusema kuwa miongoni mwa watu waliochaguliwa tra kwa nafasi ya custom officer ii is like dreams come true kwa sababu toka nikiwa mdogo mawazo yangu yalikua ni kufanya kazi sehemu tano tu...
8 Reactions
76 Replies
10K Views
1. Epuka kuegemea ukuta au kupishanisha miguu 2. Epuka kukunja mikono yako kifuani; inaonyesha unajiamini kupita kiasi au dharau 3. Unapoulizwa maswali; daima angalia mbele, usiiname chini 4...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Huyo jamaa hapo chini anaitwa Robin Ernest kimambo.ni class mate wangu pale udbs miaka kadhaa iliyopita. Leo wakati mimi bado nawaza ni lini utumishi watatoa majina ya written interview...
13 Reactions
85 Replies
9K Views
Anatafutwa mtengeneza kucha.Atakuja siku nne za mwisho wa week tu. Siku nyingine akafanye issues zake.Kwa maana kwamba atafanya kazi siku 16 tu za mwezi. Mshahara atachagua alipweje. 1. 200,000...
1 Reactions
0 Replies
489 Views
Mimi nina ajira ila naona nilifanya makosa makubwa sana kuomba hizi nafasi maana vijana wengi wa nategemea hii Kazi kupata mtaji wengine waoe wengine walipe Ada na mambo mengine pia. Hivyo siku...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Habar wadau waJF. Naomba niulze kwa yoyote mwenye kujua malipo ya sensa,mana naona huku nilipo hata majina hayajabandikwa!
2 Reactions
106 Replies
58K Views
Ofisi ya Rais - TAMISEMI inawatangazia wananchi wote raia wa Tanzania wenye uwezo na sifa za kujaza nafasi za ajira za Kada za Afya 746 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Msaada hapo kwa anaejua kuhusiana na mgawanyo wa hizo nafasi kwa Sasa
0 Reactions
2 Replies
753 Views
Hauwezi tangaza nafasi ujatoa vigezo watu wakaomba siku ya majibu ndio utoe vigezo huo ni uhuni waiteni hao watu wakafanye usaili nafasi za UKARANI kwa sababu usaili upo ngazi ya kata na form zao...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa miaka 28, ninauzoefu wa miaka minne katka masuala ya stores na elimu yangu ni Diploma ya Procurement and supply management, msaada jaman mwenye connection.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nipo mkoa wa kilimanjaro , kata niliyoombea nafasi ya ukarani wa sensa , yaani people zilikuwa ni 400+ plus sasa kwa idadi hiyo inanifikirisha kuwa nafasi ya kuchaguliwa ni finyu, mie na...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu nisiwachoshe sana. Najua mnajua kuwa mkeka wa majina ya waliochaguliwa kuingia kwenye interview (usaili) wa zoezi la sensa upo hewani. Sasa naombeni mwenye mkeka wa Temeke DAR aulete.
3 Reactions
61 Replies
9K Views
Kiukweli wakuu, mimi ni mmoja wa watu ambao kwa sasa nazipigania hizi ajira za u tutorial assistant kwa kiu kubwa sana. Ni kwamba nipo kwenye private sector lakini ki uhalisia kabisa baada ya...
12 Reactions
155 Replies
11K Views
Tunatoa huduma nyingi kulingana pia na uhitaji wa mtejaa katika upande wa usafii Pia tunauza dawa za kusafishia nyumba yako masofa ,masink ,tiles, majiko vyombo na vingine vyote . Tumesajiliwa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za muda wakuu, Mimi ni muhitimu wa diploma katika kada ya INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY (ICT) ni mwenyeji wa NJOMBE. Kiukweli tangu nmalize chuo mwaka Jana nilirud home...
0 Reactions
11 Replies
783 Views
Usitegemee kupata koneksheni wakati unaenda kutembelea maeneo ambayo serengeti laiti inauzwa shilingi 1500; maeneo hayo, wote wanatafuta koneksheni, kwa hiyo usitegemee kupata koneksheni...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom