Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Job Overview Market Development Executives in 4 Regions MCL Mwananchi Communications Limited is a subsidiary of Nation Media Group. It is the leading print media company in Tanzania with print as...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Job Overview Branch Manager Dar es Salaam Watu Credit WATU is a focus-driven, customer-centric company that believes everyone deserves the opportunity to be an entrepreneur and achieve their...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Information Communication & Technology Officer Kigoma, Tanzania, United Republic Of With over 70 years of experience, our focus is on helping the most vulnerable children overcome poverty and...
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Communications & Public Engagement Arusha World Vision World Vision International is an evangelical Christian humanitarian aid, development, and advocacy organization. Communications & Public...
0 Reactions
0 Replies
393 Views
LPG – Operations Supervisor Puma Energy Main Purpose: In collaboration with Finance Stocks Team and Business Support Supply section, we are looking for a high performing individual who will...
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Habari Nimeitwa usaili SENSA kesho kutwa sijui hata wanaulizaga vitu gani. Nisaidie kunipa mwanga
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari wana JF... Hope mko safi kabisa Bila kupoteza muda jina kama linavoonekana apo. Ni muhitimu wa diploma in Electrical and Hydropower Eng... kutoka chuo cha ufundi Arusha(Arusha technical...
0 Reactions
4 Replies
816 Views
TAESA wanafanyaje kazi na kuna utaratibu gani inatumika kwa anayetaka kupata nafasi ya internship?
1 Reactions
40 Replies
14K Views
Kuna stori moja nilipewa jana na marafiki zangu. Naielezea kama ifuatavyo. Kuna mzee mmoja alikuwa ana magari yake I mean Coaster zile za kubeba abiria kutoka airport kuwaleta mpaka kwenye nyumba...
2 Reactions
8 Replies
903 Views
Wakuu asubuhi ya leo nimeamka mapema sio kawaida na kuoga maji ya baridi na baridi hili la Tukuyu. Baada ya nikaelekea sehemu ambayo usaili wa makarani wa sensa unafanyika nakukuta idadi nzuri tu...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Leo ni siku ya USAILI kwa watu walioomba nafasi za ajira za ukarani wa sensa itakayofanyika tarehe 23 Agosti 2022. Nilichoshuhudia ni uwepo wa dosari katika mbinu ya kuwapata watakaopewa ajira ya...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mkeka wa sensa wa Kibaha TC hauonekani, msaada mwenye access ya huu mkeka please share.
2 Reactions
3 Replies
578 Views
Habari walimu! Nimeona nitengeneze ajira kwa walimu wa secondary na chuo kikuu kwa kutengeneza APP ambayo mwalimu anaweza kuuza ebook (electronic book) kwa kutumia simu au laptop yake akiwa...
0 Reactions
0 Replies
496 Views
Majina ya walioomba sensa ni aibu tupu, mmekaa na majina mda mrefu mkisema mnahakiki kwa umakini lakini cha ajabu huyu mtu kajitokeza kwenye ukarani wa sensa tena kajitokeza kwenye usimamizi wa...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wasomi. Kama title inavyojieleza hapo juu, nahitaji walimu wa masomo yote ya O-LEVEL & A-LEVEL pamoja na CPA kama wapo. Kwa walimu wa secondary kazi yao kubwa watakuwa wana solve past...
2 Reactions
8 Replies
932 Views
Naomba majina ya Sensa kwa wilaya ya ubungo yakitoka tushtuane mana mpaka sasa naona kimya
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamii. Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa dar es salaam na fani yangu ni ufundishaji wa lugha ya kiingereza(English as a second language) ama ESL...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mambo yamebadilika sana Zamani zetu zoezi la Sensa lilifanywa na wanafunzi wa shule za Msingi na walimu wao Zama hizi Sensa ni Ajira Dunia ngumu sana hii!
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu wa JamiiForums, am Mechanical Engineer by professional in oil and gas industries, niko natafatu connection za kazi za nje ya nchi hususani Canada, Belgium, France na Germany...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Back
Top Bottom