Wakuu mwenye connection yoyote mechanical technician operate maintanance designe mamb viwanran post zozote kaz tupean connection wakui
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Habari zenu wakuu,
Naomba kupata ufafanuzi, hivi watu wa PSRS wanaajiri watumishi wako makazini tayari? Maana katika matangazo yao wanaandika watumishi waloajiriwa Serikali wapitishe maombi yao...
ABOUT GEITA GOLD MINING LTD
Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an...
Hi wakuu, hivi ni kweli kwamba ukitaka kuajiriwa kwenye mashirika na makampuni ya kimataifa, lazima utatakiwa kuonyesha cheti Cha Covid-19?
Kama ni kweli, unaweza kukosa kazi kwenye hizo UN...
Aga Khan Foundation
The position
The position is responsible for the technical leadership and management on all financial and administration functions for MECPZ, ensuring compliance with all...
Type of role
Business
Location
Tanzania
Partner organisation
Tanzania Women Chamber of Commerce(TWCC-MWANZA))
Application Closing Date
21 Jul 2022
Interview date
TBC
Start date
August...
Type of role
Advocacy policy and research
Location
Tanzania
Partner organisation
VSO International
Application Closing Date
01 Aug 2022
Interview date
TBC
Start date
September 2022...
NBC is the oldest serving bank in Tanzania with over five decades of experience. We offer a range of retail, business, corporate and investment banking, wealth management products and services...
Purpose of the Role
To coordinate Agronomic activities in Unilever Tea Tanzania – undertake trialing, support roll out and implementation of good agricultural practices and sustainable and...
Main Purpose of The Job
The Assistant Field Manager supports leadership with the management of staff and day‐to‐day operations for the assigned area of responsibility. In this role, the individual...
Business Context and Main Purpose of The Job
To ensure the factory produces tea of appropriate quality at a minimum cost in a safe manner.
Main Accountabilities
Maintain 100% of effectiveness...
Purpose of Role
The role is responsible for developing and implementing a framework of partnerships that aligns the shared objectives of corporate activities, the Unilever sustainable living plan...
Habari zenu wanaforum
Naomba kuuliza kuna haja ya Mwalimu anayeomba ajira kufanya verifiacation ya vyeti vyake kwa mwanasheria ili aweze kupata ajira kwa haraka?
Kama ni ndiyo naomba ushauri...
Natumaini sote ni wazima wa afya. Naomba kujua ni jinsi gani naweza kupata kazi iwe ya kujitolea(volunteer) au kuajiriwa katika mashirika ya kimataifa ( UN, UNHCR, UNDP,FAO,USAID,UKAID nk.).
Iwe...
Kwako waziri wa Ajira Yah: Matatizo katika mfumo wa Sekretarieti ya Ajira.
Kwako Waziri wa Ajira,
Natumai unaendelea vyema na shughuli zako za kila siku.
Mh. waziri Lengo la kukuandikia barua...
Habari zenu wana JamiiForums naona majina ya watu wanaoitwa kwenye usaili wa anwani za makazi ni wengi sana kuna mtu kapata hii kazi bila kusaidiwa vilevile kwa mtu anaetaka kupata connection...
Habari wana jamvi!
Nina wazo ninalotaka kujadili pamoja nanyi kama litakuwa na maana basi litendewe kazi, laah! kama sivyo basi tuachane nalo.
Kama nilivyo tambulisha maada katika kichwa cha Uzi...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Kunahitajika mtu wa kutoa skin tag au visunzua kwa mashine na pia kunahitajika mtu wa kuweka kope mojamoja awe anajua na makeup vizuri.
Aje inbox kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.