D.light is a global leader and pioneer in delivering affordable solar-powered solutions designed for the two billion people in the developing world without access to reliable energy.
Position...
Multiple Positions at Mkwawa University College of Education (MUCE) June, 2022
The Mkwawa University College of Education is a constituent college of the University of Dar es Salaam in Iringa...
Type of role
Advocacy policy and research
Location
Tanzania
Partner organisation
VSO International
Application Closing Date
10 Jul 2022
Interview date
TBC
Start date
September 2022...
Job no: 552388
Contract type: Consultancy
Duty Station: Dar-es-Salaam
Level: Consultancy
Location: United Republic of Tanzania
Categories: Innovation
UNICEF works in some of the world’s toughest...
Job no: 496416
Work type: Regular Full-Time
Location: Tanzania – Mwanza
Categories: Program Management/Implementation/Support
ICAP at Columbia University, a global health leader situated within...
Wakubwa Shikaamooni
Wadogo zangu Habari zenu.
Mimi ni Mwanamke sijaolewa na sina watoto.
Naishi na kumlea Mama yangu Mzazi ambae ni mtu mzima ananitegemea kwa kila kitu na watoto wa Marehem...
Wale wote waliofaulu usaili ambao wanatarajia kuajiriwa kuanzia tarehe 1.7.2022 na Bado hawajapatiwa barua Za kuripoti kazini tarehe hiyo kufuatia tangazo na maagizo ya serikali kupitia kwa...
Habari wadau , nimeshangaa kuona katika program ya PGDE hakuna hata mmoja alifanikiwa kupata kazi.
Je, ni kwamba program hii ya postgraduate Diploma in Education (PGDE) hawa Tamisemi hawaihitaji...
Kwa ujumla tamisemi ni ngumu hasa katika mifumo ya utoaji wa ajira mpya inaumiza Sana mioyo ya vijana hasa wale waliovumilia mtaani muda mrefu halafu unamchukua aliyemaliza juzi. Inaumiza Sana...
Habari wapendwa naomba msaada kwa Mwanza kama Kuna hawa recruitment wanaopokea cv kwa watu wanaohitaji hizi kazi za customer services / care mfano Ison wanapatikani wapi
ORODHA YA WATUMISHI WALIOPATA VIBALI VYA UHAMISHO WA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI KUANZIA NOVEMBA,2021 – JANUARI,2022 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI
Prof.Riziki Shemdoe ameridhia kufanyika...
Habari.
Kuna taasisi ilitoa nafasi za kazi toka mwaka jana ila wasailiwa wameitwa juzi kwa ajili ya usaili.
Baada ya kufika sehemu husika walitakiwa kuingia group la watu 15 na kuanza kuulizwa...
Dereva mwenye uzoefu na mchapakazi anahitajika wa kupewa gari kwa mkataba awe na leseni class c na account za uber au bolt kwa mawasiliano zaidi piga 0783230603
Anaandika Faza James,
_______________________
Wiki iliyopita nilipata nafasi ya kuchakata maombi ya kazi ya taasisi moja binafsi hapa nchini. Maombi takribani 450 yalipokelewa ya wahitimu wa vyuo...
Habari wakuu..
Natafuta kazi yeyote halali hata ya ndani
Elimu yangu ni form six
Ni mzoefu wa mambo ya uchenjuaji dhahabu
Jinsia ni ke
Umri 26
Mshahara naomba angalau uwe 150,000+
Iwe Mwanza au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.