Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Majina 5900 walioitwa kwenye Usahili Dodoma dah Na wanaohitajika ni 100 tu kati ya hao 5900 Jiulize wangapi watatoboa Then ukiangalia mikoa mingine hamna watu wengi kiivyo ila watu wamekimbilia...
3 Reactions
27 Replies
6K Views
Hello brethren, Husika na kichwa cha habari hapo juu Nahitaji msaidizi wa kazi Ya mgahawa. Location: Dodoma, sabasaba na makulu. Ofisi zipo mbili, hivyo muda mwingine atakuwa sabasaba muda...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Vijana mnaosubir mkeka kuweni tayari!
1 Reactions
23 Replies
2K Views
  • Closed
Ndugu zangu, kwanza poleni na kazi... Naomba mwenye contact au anayejua kampuni inayotafuta mkalimani wa Kichina, naomba unitafute WhatsApp +861572153760.
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Hawa Tamisemi wako kimya tu kuhusu ajira za walimu. Bila shaka wamelenga ajira zianze julai mosi. Sasa ni vizuri wakatoa majina mapema ili watu wajipange, wasije wakatoa majina kisha kutoa muda...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Wakuu naomba kulifahamu hili suala ambalo lipo PSRS. Unakuta wameita watu 600+ kwenye written interview kwa nafasi fulani ambayo inahitaji watumishi 32. Ninachotaka kufahamu, hua wanafanya marking...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari za mchana wadau, naomba msaada anaefahamu bandarini saccoss nature ya mkataba wa ajira, mshahara na marupurupu yako. Thanks
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Wakuu wa kaya nauliza hivi kwenye lile kadi la vipimo vya macho ikiwa huoni vizuri mistari ya chini jeshini HUINGII?? Na je MACHO ili yake kigezo cha kukataliwa jeshini inatakiwa uwe na shida kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Do you have experience in manufacturing/fabricating school furniture? Are you passionate in seeing people enhancing productivity due to the quality of your furniture? Interested parties are...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Habari zenu Hii fani ya katibu msaadizi wa bunge inaleta utata Asa kwa watu waliosoma utawala(local Government administration) maana hii kozi aipo kwenye list za kozi kwenye Ajira port , Kozi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Natafuta kazi nimesomea Freight Clearing and Forwarding. Ngazi diploma katoka chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT) Nitashukuru endapo nitafanikiwa kupata kazi.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau. Mimi nimepambana nmeweza kufungua Kampuni ambayo itakuwa inajihusisha na Usafi wa Maofisini, Vyoo vya Public, Kwenye Viwanda na Majumbani. Kampuni tayari 1. Inatambulika Brela 2. Ina TIN...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba ushauri wenu wanajamii forum: Nilifanya usaili kuhamia university km warden nikitokea Sekondari na nikaqualify. Chuo kikatuma ombi la vibali vya uhamisho Utumishi Dodoma, sasa vibali...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wana JF, Kwa yeyote anaehitaji msaada wa jinsi ya ku apply ajira za utumishi kupitia ajira portal basi ani DM. Kama una changamoto yoyote unayoipata wakati wa ku apply basi anifate inbox...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari Wana JF, Katika Pitapita Zangu Maeneo ya Magomeni Mpaka Kinondoni Nimekutana na Karatasi nyingi Zimebandikwa Zinatangaza Nafasi Za Ajira, Karibu Kila Kona yamebandikwa Makaratasi Hayo...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Ajiraportal imekua kilio kikubwa kwa vijana wengi wanaotumia mfumo huo kuomba kazi. Kuna changamoto zinazojitokeza na pindi mtu anapohitaji utatuzi wa kimfumo, hakuna msaada. Namba za simu...
11 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimetumiwa tangazo la kazi nililoambatanisha hapo chini na dogo mmoja mpambanaji akilaumu namna ambavyo Chuo kikuu Cha Dar es salaam kinaendekeza ajira za kufahamiana badala ya weledi. Kigezo...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wadau, Mimi ni mwalimu kwa taaluma, nimesoma bachelor of science with education (Chemistry &Biology) nimehitimu mwaka 2017. Niko kitunda ilala Dar-es-Salaam. Nahitaji kama kuna MTU...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Mm ni kijana kwenye umri wa miaka 23 ,elimu yangu ni bachelor ya education kwenye masomo tajwa hapo juu. Napenda kuutangazia uma wa wakazi wa Daresalam hususan wamilik wa Taasisi za elimu kuwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Toka sa 1 Leo nipo online kuhisi kitu mda wowote unatema maana kwa mjadala ya wadau hapa ndani waliokua wanapredict kua Leo juma 3 majina yataachiwa
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom