Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Hivi hizi sehemu natakiwa kufanyaje? Naombeni ufafanuzi hapo ktk verification certificate, ndo aina gani ya vyeti?? Na pili hapo saved academic transcript nayao ni nini??? Elimu yangu ni chuo...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari!! Naomba kufahamu ni mamabo gani yanaweza kufanya mtu asichaguliwe kufanya hata oral interview katika process za application za kazi utumishi wa Umma. Ni vitu gani vinaweza kumdisqualify...
0 Reactions
3 Replies
706 Views
Wadau naombeni tusaidiane hivi hiki kikokotoo cha 33% kinawahusu wastaafu amabo wamefikisha miaka 55 au hadi wale wanaoachishwa kazi? Na je mfano kwenye mfuko nimechangia 7000,000 milion je...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Yani izi ajira za mwaka huu sio mchezo watu online adi bando zinaexpire watu tulitaka tupakulie pdf Leo aisee
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Neema nyingine kwa wahitimu wa kada ya Afya yabainishwa.. Serikali ya awamu ya 6 imeahidi kuwatafutia Kazi wahitimu wote wa kada ya Afya kwenye Nchi mbalimbali. Ahadi hiyo imetolewa na Serikali...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF? Utumishi wa Umma kupitia Sekretarieti ya Ajira wametangaza nafasi nyeti serikalini ikiwemo; 1. Mkurugenzi Mtendaji - TIC http://portal.ajira.go.tz/advert/display_advert/4989...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu Naombeni tofauti Kati ya academic qualifications na professional qualifications na Nini napaswa ku attache kwenye ajira portal
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Kwema wakuu Niliona hizi kazi mtandaoni, na kwa vile nilikua na sifa nikaomba.so wamenialika kwenye usaili,ila sijawajua vizuri wanadeal na kitu gan exactly. So naomba mwenye kujua abc zao...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za majukumu wakuu! Je, zile tetesi au ubashiri wa kwamba majibu ya maombi ya kazi ya sensa 2022 kwamba tar 3 June 2022 mkeka umekubali au? Hapo awali watu wengi mitandaoni walisema kuanzia...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Habari wakuu Nilikuwa naomba kuuliza ,Kuna wale wenzangu na Mimi kwenye vyeti vya taaluma kutoka shule ya msingi Hadi chuo kikuu ( form four ,six ,chuo ) tumekuwa tukitumia majina mawili tu mfn...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Sina mambo mengi ni hayo tu.nahitaji mtu wa kunipigia hizo accounting packages .kuhusu malipo tutapozana kiuwana. Info zaidi pm Shukran. Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Bring your possibility to life! Define your career with us With over 100 years of rich history and strongly positioned as a local bank with regional and international expertise, a career with our...
0 Reactions
3 Replies
564 Views
Naomba wakuu mnisaidie. Je, wakati wa kipindi cha matazamio makato gani huwepo? E.g Bodi, tax, NHIF, NSSF?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari nilikua naomba kwa mwenye ufahamu juu ya hili shirika la ICAP au hata yule ambae kashawahi kufanya nao kazi kuhusu mchakato wao wa ajira unakuaje ili anipe kidogo mwangaza. Walitangaza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kiukweli binafsi nilikuwa mtumiaji mzuri wa hii application ya zoom hususan katika kuangalia ajira na fursa mbalimbali.Lakini Jana nimeingia nikashangaa inafanana kabisa na Kupatana nikajua labda...
0 Reactions
3 Replies
996 Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.JA.9/259/01/A/116 22ndJune, 2022 VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of Ministry of Natural...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Wakuu habari.. Kama kichwa cha habari hapo, kinanavyo sema, naweza kuomba ajira kupitia Academic Transcript, huku nikiwa nasubiria cheti..
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Naomba kuuliza ivi uki-apply kazi ni lazima uambatanishe transcript na cheti chake au cheti pekee kinatosha? Kwa wazoefu please msaada apo[emoji120][emoji120]
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom