Habari zenu!
1.Wanaofanya first screening(kuwa shortlisted au not)ni hao hao utumishi au maombi yanatumwa idara husika(mwajiri)??
2.Hivi anaesaili watu wanaokuwa shortlisted ni ajira portal...
Habari zenu wataalam!
Kuna nafasi moja ya kazi anahitajika trained Sonographer. Awe na good professional conduct.
Location: Dar es Salaam, waliopo maeneo ya karibu watapewa kipaumbele.
Kituo ni...
Salaam kutoka BUKOBA HOPE LUTHERAN SEC SCHOOL YA ELCT BUKOBA. Naomba ikiwa mtu ana Mwl wa Mathematics na Physics mwenye Diploma au Digrii ya kwanza, amwambie awasiliane na Mtaaluma 0759742310 au...
Kwa majina naitwa MOHAMED HABIBU MOHAMED ni mkazi wa mkoa wa DoDoma,umri wangu miaka 25 mwenye elimi ya kidato cha nne (4).
Nina nina fani ya udereva pia ni mzoefu usio pungua maika 3 ya...
Habari yako,
Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar au pwani kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile...
Husika na kichwa cha habari apo, mdogo wenu nakuja tena kwa Mara nyingine nilikuwa naomba kujua maswali mbalimbali yanayoulizwa utumishi wakati wa usaili kwa watu wa,
- afisa utumishi au human...
Hello,
Natafuta mtu mwenye uzoefu wa kufanya marketing katika sekta ya Utalii!! position based in Arusha!
Uaminifu katika kazi uwe wa kiwango cha juu!!
Njoo inbox
Mimi ni dereva nina uzoefu mkubwa wa kutosha natafuta gari nifanyie kazi ya
Uber/bolt
Gari ndogo.
Hesabu au mkataba vyote sawa
Kwa yeyote Alie nayo
Napatikana Temeke
Mawasiliano: 0717285828
COMPANY NAME: ASILIA LODGES AND CAMPS LTD
POSITION: ASSISTANT CAMP MANGER
DEPARTMENT: FIELD OPERATIONS
REPORTING TO: FIELD OPERATIONS MANAGER
At Asilia we aim to...
TERMS OF REFERENCES (TOR)
Position Title:
Records Management- Intern
Report to:
People & Culture Manager
Duration :
One Month
Location :
Dar Es Salaam
Key Responsibilities...
Nature and scope:
The job holder reports to the Resource Mobilization Manager. He/She is responsible for development of the resource mobilization strategy; has a direct responsibility for...
Job Description
Role Purpose
• Maintain and support of IP/MPLS network operational activities
• Controlling, managing and acting as second level support for data and internet customers
• Ensure...
POST DESCRIPTION
SVN
IOM/KGM/015/2022
Position title
Construction Engineer
Position grade
UG
Duty station
Kigoma, United Republic of Tanzania
Durations
4 Months, with possible...
Wataalamu mambo vipi, kuna ndugu yangu aliomba nafasi kama Thread tittle inavyojieleza hapo juu hivi karibuni na tarehe 18 ya Jumamosi anatakiwa akafanye usaili (Written)
Nilikuwa naomba kwa...
Background:
The National Institute for Medical Research (NIMR) is a parastatal organization established by an Act of parliament No.23 of 1979 (CAP.59, R.E. 2002) and became operational in 1980...
POST ENGINEER II (PRODUCTION) – 2 POST
EMPLOYER Petroleum Upstream Regulatory Authority(PURA)
APPLICATION TIMELINE: 2022-06-14 2022-06-27
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Recording...
Habari wakuu,
Ninashida na kujua wap wanatoa nafasi za data clerk part time kwa hapa Dar.
Nauliza hapa kwa sababu humu kuna watu mbali mbali wanaofanya kazi mbali mbali
Elimu Diploma in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.