Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Naomba msaada wa maswali ya programming/Developer wanayopenda kutoa utumishi kwenye mitihani yao , naomba kutanguliza shukrani.
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu Wakuu poleni Kwa Majukum ya kila Siku. Mimi ni mmoja Wa YouTubers (Pharmacy Yetu) ninahitaji mtu wa kunitengenezea Intro ya channel yangu! Kwa yule anae weza naomba aje inbox tuongee
1 Reactions
6 Replies
461 Views
POST CUSTOMS ASSISTANT II – 80 POSTS POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING HR & ADMINISTRATION, LEGAL TAXATION AND SOCIAL PROTECTION EMPLOYER Tanzania Revenue Authority (TRA) APPLICATION...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Hbr. Mshahara wa ngazi ya stashahada wa IT ni shilingi ngapi????
0 Reactions
30 Replies
14K Views
Habari zenu, Kuna dada mmoja ana mtoto mlemavu, mwanaume amemkataa kisa amezaa mlemavu, sasa amehangaika amesomea mipango miji, Anahangaika kutuma maombi ya ajira sehemu mbalimbali, lakini...
0 Reactions
5 Replies
705 Views
kuna mtu amefanikiwa kuweka masomo ya kufundishia
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Mliopata kazi TRA someni hilo Tangazo tena.
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Kuna yoyote humu amefanikiwa ku apply nafasi za ualimu kupitia huu mfumo wao ? Kama yupo naomba anipe mbinu ni muda gani system inakua imetulia mana me kila nikijaribu naona mapichapicha tu
0 Reactions
3 Replies
474 Views
Kuna baadhi ya kozi hazionekani kama Diploma in Physical education haipo je walioomba physical education wamefanyaje?
1 Reactions
2 Replies
794 Views
Habari wanajamvi, mimi ni graduate wa BE electrical engineering class of 2018. Baada ya kumaliza masomo yangu 2018 niliajiriwa na taasisi moja binasi kama electrical maintainace engineer na...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. UKIPEWA KAZI/KUAJIRIWA Tambua Kuwa Hiyo Kazi Muda Wowote Muajiri wako anaweza kukufukuza Endapo Hutofanya kazi Hiyo kwa bidii, kwahiyo hakikisha unafanya kazi ya watu kwa bidii zote na Nguvu...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
nimefikia hatua hii lakini tatizo linakuja pale napotaka kujaza jina la chuo kwenye orodha halipo. nimesoma University of Iringa (UoI)
0 Reactions
8 Replies
772 Views
Naomba kujuzwa wale wote waliofanikiwa kuomba ajira kupitia Mfumo wa Uombaji uliopo ndani ya Tovuti ya TAMISEMI anijuze. Tangu jana naona mfumo unasumbua tu.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wadau, mimi ni kijana wa kitanznia umri wa miaka 21 naishi Dar es Salaam nina elimu ya stashahada natafuta kazi kama graphic designer nina uzoefu wa miaka miwili nina uzoefu wa designing...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuna mtu ameaaply wizara amesubmit kimakosa sasa kuna marekebisho anahitaj kufanya na kuongeza baadhi ya document akifanya hivo inagoma sababu alisha submit deadline tar 28 siaja namsaidiaje Nb...
0 Reactions
4 Replies
369 Views
Hivi ile interview ya TRA ilifanywa August mwaka jana (2021) hadi ikasemekana pepa imevuja hivi sekretarietya ajira ilitoa majibu gani... au ilikuaje?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom