Mambo zenu hustlers wenzangu!
Hawa jamaa wamenipigia simu niende kwenye interview kesho kwa nafasi ya Data collection,wameniambia ofisi zao ziko Masaki jengo la TPSF.
Kuna mwenye ABC zao...
Habari ndugu zangu,
Mimi ni mwanaume mchapakazi na muaminifu .Nina uzoefu miaka mitano hasa katika sekta binafsi kwenye kazi ya uhasibu haswa kwenye mambo ya kodi n.k. Nina uzoefu sana kwenye...
Kama kichwa cha habari hapo kinavouliza.
Je hizi online course zinasaidia kwenye kupata ajira kweli? Maana kama ni skills kweli mtu unajifunza ila je vyeti vinavyopatikana kwa njia hii viko...
Habari Wataalamu.
Kuna website yangu ambayo iko kwa developer na muda wowote atanikabidhi kazi baada ya kumaliza upade wake.
Sasa ninafikiria kupata expert tofauti ili anifanyie SEO na...
Habari zenu wapendwa,
Jamani naomba msaada kwa aliyewahi kufanya computer test interview na shirika la Peace Corps, huwa hasa wanabase kwenye kitu gani?
Asante sana
Hosanna Higher Technologies creates Software Solutions for our corporate clients, Training IT/Software development departments for corporate and vendor variety of SaaS solutions to solve variety...
POST: ELECTRICIAN – 1 POST
POST CATEGORY(S): TRANSPORT AND LOGISTICS
EMPLOYER: Tanzania Ports Authority (TPA)
APPLICATION TIMELINE: 2022-01-07 2022-01-20
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND...
JOB DESCRIPTION
Job title: Finance Officer
Band: Employment band: H
Reporting to: Finance Manager
Technical line manager: Finance Manager
Direct reports: No direct reports
Unit/department: Finance...
Habari....
Kwema humu, ebana kama kichwa cha habari kinavyotia huruma hapo juu. Ebana nataka kuanza ujenzi mwaka 2022 badget haijakamilika yaani nataka nianze mdogo mdogo mpaka mambo yawe sawa...
Anahitajika kijana mwenye uzoefu wa kuuza Butcher ya nyama ya ngombe/ Mbuzi na Samaki. Awe na uzoefu wa mashine ya kukatia nyama na uzoefu wa biashara hii.
Butcher iko Bunju, ni PM kwa mazungumzo...
POST: CAPTAIN – 1 POST
POST CATEGORY(S): TRANSPORT AND LOGISTICS
EMPLOYER: Tanzania Ports Authority (TPA)
APPLICATION TIMELINE: 2022-01-07 2022-01-20
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES...
Bulyanhulu Gold Mine is seeking to recruit Mine Surveyor to join our team. The successful candidate for this position is expected to align to the Barrick DNA and drive a change within his team and...
Job Description:
Context/Scope:
Serengeti Breweries Limited (SBL) is a fully integrated beverage business in Diageo Africa (supply and demand for beer and spirits) It is a subsidiary of East...
Habari za leo JF members,
Happy new year.
Mimi ni dada fundi nashona nguo za aina zote nikimaanisha za kike na kiume. Nashona kwa ustadi wa hali ya juu.
Naombeni support yenu ndugu zangu kama...
Mimi ni binti nimesoma procurement na baadae nikasoma business management. Niko Arusha tafafhali kama kuna mtu ana kazi yake ama anamjua mtu anaetaka mfanyakazi usisite kunitaarifu. ARUSHA.
Kama kichwa Cha habari kinavyosema , Mimi ni Fundi Nzuri wa Rangi na huwa nafanya kazi na Shirika la nyumba { NHF} Mbeya nina uwezo mkubwa sana wa kupiga rangi kwenye nyumba na hata kupiga kisasa...
Habariii wana familia mi nikijana muhitimu wa chuo kwenye kada ya tehama nilikua nimekuja hapa kuleta ombi langu la kuomba kupata sehem ya kufanya intern kwa yoyote anaeweza kunisaidia au kama ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.