Ndugu zangu,
Kama wewe ni software & web developer mzuri, na upo Dar, nadhani nina project kwaajili yako.
A quick introduction about the project;-
Project itahusisha utengenezwaji wa high...
Salaam,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye Umri wa Miaka 26 na makazi yangu ni Mwanza wilaya ya Nyamaghana. Mwaka huu 2021 nimehitimu Bachelor of science in computer science, Lengo la thread hii ni...
Unapohudhuria usahili wa mahojiano, jitahidi kujibu vizuri maswali yote, na uhakikishe unajibu maswali yote kwa kujiamini na ikiwezekana majibu yako ya link na taasisi husika.
Baada ya mahojiano...
Hello wana JF
Nimeitwa kwenye usahili tarehe 23 Julai ya maandishi, kwenye post ya LICENSING OFFICER II na REGISTRATION OFFICER II
Nilikua naomba msaada nisome au nipitie sehemu zipi ili nifaulu...
Kwa wale mliomba kazi mbali mbali utumish majina yametoka kwa ajili ya mchujo- Info zote zipo kwa pdf file chini
NB: kwa wale wote waliomba licensing office Brela tujuane
Tujifunze kusoma fani zinazotuachia ujuzi ili tuweze kujiajiri na pia kutengeneza ajira kwa wengine. Mfano mdogo tu, jaribu kutangaza nafasi ya fundi wa kushona mavazi; inaweza kuchukua wiki...
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26, nimemaliza shahada ya kwanza ila kutokana na hali ngumu ya ajira nimeamua kutafuta kazi ya kuuza bishara yeyote hapa Dodoma.
Mimi ni mwaminifu na nina uzoefu...
Aisee EAC Secretariat japo Ipo Arusha (TZ) lakini Watanzania tumeishia kubakia nafasi za chini (udereva, wafagizi, receptionist). Sasa Wabunge toka Uganda nao wamestukia chezo la wakenya kujazana...
Natafuta operator wa mashine ya kukoboa mahindi na kusaga unga. Ina uwezo wa kusaga tani kumi kwa siku. Awe na uwezo wa kufanya mauzo kwa kupeleka kwa wateja.
Niko Dar es Salaam, Mbagala.
Habari,
Natafuta biashara zinazohitaji kukua iwe katika kutoa huduma au kuuza bidhaa.
Wasifu wangu;
Uzoefu wa miaka 5 katika usimamizi na kuweka mikakati ya ukuaji biashara "Strategies for...
Habari Ndugu Zangu Wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 ninayepatikana mkoa wa Dar es Salaam.
Nilihitimu masomo yangu katika ngazi ya Shahada ya uzamili katika Hisabati (Master's...
3 Technical Advisors TVET/Employment Promotion in Dodoma
Manyara and Lindi (310 working days each)
Position: technical advisor
Project Status: tender
Project Title: KOICA Tanzania – Provision...
Technical Project Coordinator at FAO December, 2021
IMPORTANT NOTICE: Please note that Closure Date and Time displayed above are based on date and time settings of your personal device
FAO is...
INTERNSHIP OPPORTUNITY (RE ADVERTISED)
BID NO: KCU/C/2021/006
Kagera Cooperative Union (1990)Ltd a Cooperative Institution based in Kagera Region and operating in three District Bukoba, Muleba...
National Consultant to undertake an assessment to map existing administrative data sources on labour migration statistics in Tanzania at ILO December, 2021
Background
Labour migration has always...
Programme Coordinator/ Coordinatrice de Programme
Workplace: Kibondo
Department/Country: Tanzania
Contract type: Expatriate or national contract
DRC has been implementing emergency response...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.