kuna haja mashirika wanaita ya kimataifa na mishahara yao ipo na jina mfano grade P3 unapata ni hela ndefu kwani pia wanalipwa kwa dola..sasa kuna wale wamekuja kutoka nchi fulani let say west...
A motivated, adaptive, and responsible ndustrial engineering maagement graduate seeking a position within which i will utilize my proffesional and technical skills.
I have recently graduate at...
Naitwa Frank Lucas nipo Arusha natafuta kazi ya umeme nna level two, kama Kuna fundi ambaye naweza fanya nae kazi naomba niwe nae, au kama Kuna mtu anaweza kuniunganisha kiwandani au kwenye sekta...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nina elimu ya kidato cha nne
Muda sasa nipo nyumbani tu natafuta kazi yoyote hilio halili ili niweze kujikizi kimaisha
Ata ikiwa kiwandani au sehemu...
kuna ajira mmetangaza
kwenye nafasi ya kazi ya udereva zile sifa za
dereva mnayemtaka kwamba awe amesoma kozi ya mwaka mmoja basic certificate ya udereva , sijawai kusikia kozi hiyo ya mwaka 1
ni...
Nataka nijitoe ufahamu kwa kuandaa CV yangu vizuri, halafu nitaandika barua moja kwa moja kwa Rais ikulu, nitaambatanisha vyeti vyangu vyote kisha nitavizia siku rais yuko Dar.
Ntapeleka barua...
we're looking for 2 Android developers. Experience on native is a must, flutter is an advantage and swift is a bonus. An immediate start for successful candidates….nichek inbox kama upo tayari na...
WASALAAM
Ndugu wapendwa mabibi na mabwa
Napenda kufahamu kwa wale ambao walishawahi kufanya interview utumishi kwa usaili wa WATENDAJI WA KATA
Huwa yanaulizwa maswali ya aina gani maana mimi...
JOBS VACANCY
Clinical Assistant at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS)
Advisor – ART Retention and Community Based Health Service Delivery (6 Posts) at MDH DECEMBER 2021...
institute of construction technology morogoro, boarding school matron salary, school matron qualifications, information technology jobs 2021, application for the post of a matron, house matron...
Abali zenu ndug zangu, naitwa Frank nipo Arusha natafuta kazi au fundi niweze kufanya nae kazi ya umeme maana na taaluma ya umeme level two( Electricall installation)
0787444364/ 0689040221
Anahitajika Afisa Mikopo elimu iwe diploma au degree, intern pia katika fani ya microfinance anahitajika mmoja au wawili, anaye hitaji kazi hii natakiwa awe anaishi Meru au mpakani mwa Arusha na...
Napenda kujua concept ya nafasi ya kazi kuwa re-advertised uwa inakuwa Mara ngapi kwenye kazi fulani.
Kuna nafasi Moja walitangaza utumishi mwezi wa saba wakairudia mwezi wa nanë na watu...
Habari zenu. Naitwa Mary, Miaka 25. Elimu yangu cheti. Naishi karibu na cornerstone (kibada).
Natafuta kazi za ndani za kwenda na kurudk huku Kigamboni. Kupika, kufua, usafi, kutunza watoto...
Nafasi tajwa hapo juu zinahitaji watu.
Mshahara ni Tsh. 300,000.
Mahali ni Moshi Kilimanjaro.
Kama upo interested, tuma cv kwa info@starrich.co.tz
NB. Onyesha kazi uliyoomba.
JOBS DAR ES SALAAM
Cargo Sales Officer (2 Posts) at ATCL December, 2021 - New!
IT Support Officer Jobs Vacancy at Watu LTD Decmber 2021
Manager – PMTCT/EID/Pediatric HIV Service Delivery (1...
air tanzania jobs 2021, air tanzania cabin crew vacancy, air tanzania internship 2021, precision air jobs 2021, precision air jobs 2020
ABOUT ATCL
Air Tanzania Company Limited (ATCL) (Swahili...
Salaam,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye Umri wa Miaka 25. Mwaka huu 2021 nimehitimu Bachelor of science in production and opertion managment chuo kikuu Mzumbe, lengo la thread hii ni kuomba nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.