Job title: Clinical Research Coordinator (CRC)
Location: Based in Dar es Salaam, Tanzania.
Contract: A 12-month, renewable pending availability of funds.
Reporting to: MUHAS-ORCI-UCSF Cancer...
Habari ndugu zangu nimefungua kijiwe cha welding na compressor kwa ajili ya kuunga vyuma na kuziba pancha za magari yote ,
Hivyo wanahtajika vijana wawili kwa ajili ya kazi hizi alie tayari ani...
Habar zenu wadau,
Naandika ujumbe huu ikiwa ni very urgent nahtaji mtu wa kuniuzia banda la chipsi.
Nilikuwa nafanya mwenyewe ila korona ilipoisha nimerudi kazini sasa sina Mtu kabisa na eneo...
Bulyanhulu Gold Mine is seeking to recruit Mining Foreman to join our team. The successful candidate for this position is expected to align to the Barrick DNA and drive a change within his team...
Wafanya kazi wa usafi wa vyumba wanatakiwa kwenye Hoteli ya Lahe.Maombi kuanzia tarehe 21.12.2021 hadi 15.1.2022. Tafadhali omba kwa namba 0754290084 au 0655290084.
Position: Senior Banc Assurance Officer
Job Summary:
The purpose for this role is to have a dedicated resource with the appropriate skills and knowledge to support the Bancassurance business in...
Job Purpose:
To coordinate and control relationship of Special assets that require a high degree of attention to minimize risks, prevent losses and restore profit through rehabilitation...
Habari!
Naomba mnisaidie kupata kazi wana jf, nimehitimu diploma ya masomo ya banking and finance lakini sijafanikiwa kupata kazi, ninaweza kazi za bank, assistant accountant pia nimekuwa cashier...
Samahani wakubwa naomba kufahamishwa kwa wale wazoefu kidogo na Secretariat ya ajira.
Je inaweza ikachukua kipindi cha muda gani kufikia kuitwa kwenye usaili baada ya muda wa kutuma maombi...
Habarini,kwa wale mlioko mkoa wa mbeya kwa mbeya mjini tuna kikundi chetu tupo mabinti sita tunajihusisha na usafi wa mazingira ya nyumba pamoja na kufua nguo.
Bei ni maelewano kulingana na kazi...
Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavosema mimi ni kijana mwenye miaka 22 nimesoma hadi ngazi ya certificate in community health
Natafuta kazi katika mashirika binafsi (NGO)...
Assalam aleyqum Ndugu mwana jamvi!
ningependa moja moja niende kwenye mada tajwa hapo juu, anatakiwa mtu wa phamarcy kwa ngazi ya certificate eneo la kazi dar es salam..kwa maelezo zaidi na...
Jana wakati nipo kwenye daladala natoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine mmoja wa abiria aliyekuwepo ndani ya daladalaalikuwa akiongea na mtu ambaye baadaye tulikuja kufahamu kuwa ni kaka yake...
Mimi ni mdada nina umri wa miaka 21
Nmemaliza chuo Cha Excellence college of health and allied sciences mwaka huu
Diploma in pharmaceutical
Nlkuwa natafuta kazi ya pharmaceuticals dispenser Dar es...
Habari.
Natafuta Fulltime Mhudumu wa nyumbani wa kumhudumia Baba Mzee.
Mzee anahitaji kusaidiwa huduma zote kwani ni mhanga wa Stroke.
Sifa za Mhudumu.
- Awe ni mzoefu wa kuhudumia wazee au watu...
Inakera unakuta tangazo la kazi, unafungua unakutana na link, hebu jiulize wewe unaeweka link mtu mwenye simu ndogo ataweza kuifungua kweli wakati mi-blogs yenu inatafuna mi-kb! Au mnataka tujue...
Habari za majukumu wakuu
Mimi ni binti umri wa miaka 27, ni mkazi wa Dar es Salaam, nimejitokeza kwa jukwaa hili leo nikiwa na uhitaji wa kazi kama (hostess/kondakta wa kike) katika kampuni za...
Nimesoma degree ya Education.(Ualimu).
Nimesoma ualimu wa Historia na Kiingereza.
Natafuta kazi ya ualimu au kazi yoyote ile ambayo ni halali.
Niko tayari kwenda mkoa wowote ule hata Kigoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.