Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Natafuta kazi yoyote elimu yangu ni Form Four, napatikana Dar es Salaam, Kariakoo. Popote naweza kufanya uaminifu ni kipaumbele namba moja kwangu.
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Job Reporting To: Zonal Business Manager (Administratively), Manager Agents Performance (Functionally) Job Purpose: To grow and retain a portfolio of Bank Channel’s Business including management...
0 Reactions
0 Replies
602 Views
POST: ASSISTANT LECTURER-ECONOMICS – 1 POST POST CATEGORY(S): BANKING, ECONOMICS AND FINANCIAL SERVICES EMPLOYER: Mzumbe University APPLICATION TIMELINE: 2021-11-25 2021-12-08 JOB SUMMARY N/A...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JOB REPORTING TO: Senior Manager Business Performance & Revenue Assurance JOB PURPOSE Responsible to ensure that revenue collection mechanisms are reviewed and monitored to help businesses...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Habar wadau naomba msaada wenu wa kuzitambua wakala wakubwa na wazur wa ajira Tanzanian mimi ni kijana mwenye cv nzur katika masuala ya manunuzi na ugavi stoo naomba njia za kupata hao mawakala...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndg:''Aslaam alaykum naitwa Abdul Hamanda kutoka Moshi elimu kidato cha nne kwa mwenye kibarua chochote cha halali msaada tafadhali mtaani bila kazi hapakaliki mwishowe ni kuingia magroup mabaya...
3 Reactions
5 Replies
623 Views
Gusa Tanzania Comprehensive Client-Centered Health Program Kusoma zaidi
4 Reactions
14 Replies
3K Views
orodha ya wataalam wa fani mbalimbali walioomba nafasi Jeshi la magereza wanahitajika kwenye usaili kuanzia tarehe 02/12 Hadi tarehe 06/12/2021. Usaili utafanyika siku tofauti kulingana na fani...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Jeshi la magereza Tanzania limetangaza nafasi za kazi 700 kwa watanzania mbalimbali wenye elimu ya kuanzia kidato cha nne mpaka degree mwisho wa kutuma maombi ni October 10 2021 Kwa maelezo zaidi...
3 Reactions
86 Replies
15K Views
Habari ndugu zangu na nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni fursa kwa vijana wote ambao wamemaliza chuo na upo tu nyumbani na hauelewi cha kufanya. SIFA ZA MUOMBAJI. Ili...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu, ni matumaini yangu mpo fresh. Mimi ni mhitimu wa chuo ngazi ya degree katika fani ya uhasibu. kiukweli nimejiajiri lakini hali si mchezo huku mtaani, ofisini nashinda masaa...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Anahitajika msichana wa kazi..kuhudumia familia ya watu wa tatu.baba.mama mtoto.kuishi kwa tajiri.kazi kupika.kufua na kulinda nyumba.mshahara shilingi 50.000.bima ya.afya na mahitaji ya msingi ni...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwenye mchongo wowote kuhusiana na kazi za IT hapa DSM au popote pale Tanzania anipe connection. Ni mtaalam katika:- 1.Web design 2.Graphics design 3.Nertwork installation 4.CCTV camera...
1 Reactions
2 Replies
539 Views
Habari wakuu Naomba kujua hawa ajira portal wanatumaga email (Confirmation email)mda gani Mara baada ya kujiunga Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Utangulizi Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing...
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Wakuu salaam, Nina mdogo wangu kamaliza chuo mwaka 2018, ana bachelor degree ya Business Administration, kashafanya usaili wa Mamlaka ya Mapato mara mbili sasa, cha ajabu leo wakati anaomba...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari mi ni binti umri 27 Nina changamoto ninazopitia zinazonifanya nikae nyumba ni mda mwingi na kukosa kazi. Nahitaji kazi ya upishi mahali penye nafasi kama hiyo. Vyakula vingi nnavyoweza...
7 Reactions
9 Replies
969 Views
Naomba kufahamu Mshahara wa Senior Planning Officer II wa Tanzania Ports Authority ni Tsh Ngapi? Naomba kufahamu na Salary Scale ya nafasi hiyo
2 Reactions
31 Replies
10K Views
Back
Top Bottom