Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 22 ,nimehitimu masomo yangu ya chuo kikuu ngazi ya shahada ya Sana'a na ubunifu yaani(bachelor of arts in art and design) ambayo imebeba mambo kama, FASHION...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba kuuliza kuhusu upatikanaji wa Kazi Dubai, Kazi za kuajiliwa plus mkataba sio za mtaani. Na Kama kuna agent ambao wana saidia kupata Kazi basi itakuwa fresh ukinijuza. Mana nachek...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Natumaini mu-wazima wa afya ndugu zangu wana jamii forum. Natafuta kazi za ndani (house girl) Dar es salaam. Ni msichana wa miaka 21 nipo Geita kwa sasa. Elimu yangu nimefika form four. Pia kaz...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari ya uzima wakubwa kwa wadogo. Mimi nilikua muajiriwa kwenye sekta binafsi lakini tukawekwa pembeni baada ya ofisi kufilisika, nikafanya biashara nazo hazikuzaa matunda, kwasasa nimegeukia...
0 Reactions
3 Replies
984 Views
Jinsia: Mwanaume,31. makazi: Dar es salaam Uzoefu barabarani: Zaidi ya miaka miwili na nusu bila tukio la ajali. leseni safi daraja: A A2 B C1 C2 C3 D Elimu: kidato cha sita (6) Mafunzo: Advanced...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wana jamvi! Napenda kushare japo kwa ufupi story yangu naimani itatufunza na kupata Ushauri ambao hata mimi nitajifunza. Nikiwa nina miaka 6 baba yangu alikuwa mwajiliwa wa taasisi moja...
10 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari wadau, Samahani kwa wale walioomba nafasi za ajira TRA za mwezi November ambazo deadline ilikuwa tarehe 4 washapata majibu ya kuitwa kwenye usaili maana ajira portal huwa wanatoa majibu...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari za muda naitwa Ernest mimi ni Dereva wa uber na Bolt Kama awali hapo mimi ni dereva wa Uber natafuta Gari ya hesabu au mkataba nina leseni class C3 na vigezo vyote vya kuendesha gari za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nafasi za kazi kwa Watumishi wa Umma wanaotaka kuhamia kufanya kazi katika Chuo Cha Utalii (NCT) Dar es salaam Kwa Mtumishi wa Umma anaehitaji kuhamia chuo cha Taifa cha Utalii kwa nafasi ya...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
1. Relationship Manager; Bancassurance (1 Position(s)) Job Purpose: To increase insurance sales and penetration to wholesale clients, by ensuring strong strategic business relationships with...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Stationery ipo Mwanza Maeneo ya chuo kikuu cha Mt. Agustino (St. Augusitne University of Tanzania) SIFA ZA MWOMBAJI Awe mkazi wa Mwanza (Maeneo jirani na chuo) (kama sio mkazi awe na pakuishi)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna wimbi la vijana wengi sana mtaani kuanzia dsm mpaka mikoani ambao kusema ukweli wanatia huruma sana ukikutana nao, ila nachojiuliza ni kitu kimoja unakuta kijana analalamika kuwa hana kazi...
18 Reactions
71 Replies
9K Views
Wakuu mwenye taarifa zozote kuhusu walioomba kazi Takukuru anijuze tafadhali.
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari. Naomba kufahamishwa ni chuo gani kwa Tanzania naweza kusoma course ya HSE kwa muda mfupi. Nawasilisha. Kama huna majibu basi tuliza cha kunyea
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari ya wakati huu! Kama kichwa kinavyojieleza, wanahitajika vijana wawili mmoja kwa ajili ya kuuza barafu na mwingine juisi (kwa kutembeza). Sifa kuu ni uchapakazi na uaminifu. Jinsia yoyote...
2 Reactions
4 Replies
745 Views
Jamii Forums is a Tanzanian Non-Governmental Organization that advocates for and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. Jamii Forums...
4 Reactions
0 Replies
4K Views
Nahitaji Mafundi Wa Kufanya Skimming, Kupiga Rangi, kuweka Tiles, Na Gypasum Decoration Kufanya Finishing, Kutengeneza Madirisha Ya Vioo Na Almunium, Kupiga Patition Note: Wawe Dar
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Tujulishane kama yupo unaweza nambia hapo chini, atapata mshahara mzuri tu.
5 Reactions
37 Replies
6K Views
Aslaam alaykum. Kwa mhitaji kijana wa kazi physical work nipo tayari iwe khalali some where Moshi kilimanjaro Abdul wabilah taufiq. Call.0782 279 085
3 Reactions
3 Replies
698 Views
Back
Top Bottom