Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni certificate of information and communication technology.
Natafuta kazi au kibarua chochote kile naweza kufanya ili mradi tu iwe halali kwani...
Background
Tanzania Home Economics Association (TAHEA) is a national professional organization of nutritionist, home economics, agriculturists and other related social science professions.
TAHEA...
INTRODUCTION:
Mkulazi Holding Co. Ltd (MHCL) is a company owned by the National Social Security Fund (NSSF) and Prisons Corporation Sole (PCS). The Company was established on 6th September 2016...
Good Neighbors is an international humanitarian development NGO founded in Korea in 1991. It was granted General Consultative Status from the United Nations Economic and Social Council (UN...
Waungwana heshima mbele,
Nilitaka kujuzwa jambo, hivi 'list of references' ni nini?
Context ya kuuliza hilo swali ni kwamba kuna tenda/project flani tuna-apply, sasa client anataka tupeleke...
Habari za wakati huu, binti wa kazi za nyumbani anahitajika,
Kazi iko Nairobi, Kenya. Sifa za mtu anayehitajika, awe na miaka 18 hadi 25. Awe na kitambulisho yeyote, awe anajua kusoma ba...
Habari zenu,
Natafuta mtu wa kunisaidia kupata akaunti ya uber na bolt. Nimejaribu kufanya mchakato wa kujiunga ila gari yangu imekosa baadhi ya vigezo haswa umri wa gari na ukubwa wa engine ila...
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 23, nimehitimu masomo yangu ya chuo kikuu ngazi ya shahada ya sanaa na ubunifu (Bachelor of arts in arts and design). Ambayo imebeba màmbo kama;
graphics...
Volunteering Jobs at DEWAHEJU Mbeya 2021 Development Way over Health and Justice Organization (DEWAHEJU) fellows recognize and honor the efforts of the government and other stakeholders in...
APHFTA is an umbrella organization of the private (self-sustaining) health sector in Tanzania established in 1994, as a Non-State organization. It serves as a public forum for the private health...
Overview
SOS Children's Villages Tanzania is a local non-government organization affiliated to Sos Children's Villages International, a worldwide child care organization that provides orphaned and...
Stationery ipo Mwanza Maeneo ya chuo kikuu cha Mt. Agustino (St. Augusitne University of Tanzania)
SIFA ZA MWOMBAJI
Awe mkazi wa Mwanza (Maeneo jirani na chuo) (kama sio mkazi awe na pakuishi)...
Job Summary
We are looking for secondary school teachers, for arts and business studies Minimum Qualification: Bachelor Experience Level: NO EXPERIENCE.
Job Description
A full-time permanent...
Nauliza kama jukwaa au soko la freelancers au wafanyakazi huru linaweza kua na tija au uhitaji kwa Africa mashari au hata Africa kwa ujumla. Kwa kiasi flani watu wengi naona wako Fiverr, Upwork...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.