Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Toka Sensa ipite serikali ikagawa VISHIKWAMBI imekuwa na kigugumizi sana Cha kuajiri waalimu wapya Toeni ajira vijana wanataka kulifanyia kazi taifa sio kupewa VISHIKWAMBI TAMISEMI na serikali...
2 Reactions
18 Replies
471 Views
Habarini za muda huu wakuu, Mimi ni kijana mwanajukwaa mwenzenu nipo Kahama hapa naona maisha yananiendea kombo hiki kipindi kiasi kwamba mpaka kula yangu inaelekea kuwa jambo la mashaka,hivyo...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Anahitajika Mwalimu mahiri ngazi ya shahada katika somo la Jiografia na Historia au Jiografia na kiswahili. Shule ipo Mbeya Mjini na inatoa mshahara scale ya serikali..... Kama Hauna mastery of...
1 Reactions
1 Replies
382 Views
Wadau, Kwa wale wenzangu na mie wasaka ajira naomba tuyataje mashirika, taasisi au sekta ambao ni wabaguzi sana katika mifumo ya kuajiri. Yawe yale ya mjuano, upendeleo, rushwa n.k 1. World...
18 Reactions
128 Replies
27K Views
Tazama Pipelines Limited, an interstate organization owned by the United Republic of Tanzania and the Republic of Zambia and which deals in transportation of petroleum products from Dar es Salaam...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari, Ni Binti Wa Ki Tanzania Mwenye Umri Wa Miaka 21 , Elimu Yake Form 4 Amesomea Level 2 Ya Ufundi Bomba (Plumbing & Fitting) Anafuta Kazi Yeyote Halali Ambayo Itamuingizia Kipato. Kama...
2 Reactions
20 Replies
744 Views
Nipo Kitunda,Ilala,Dar-es-Salaam Namba:0685 069 818
3 Reactions
0 Replies
95 Views
Ni kiwango kipi mtu anaweza sema amepata kazi ya mshahara mzuri kwa hali ya maisha iliyopo hapa nchini na kwenye soko la ajira bongo? Wadau wa maokoto ya mwisho wa mwezi tupeni abc
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Anonymous (0f90)
Sisi Watumishi wapya wa Sekta ya Afya katika Halmashauri ya Jiji - Dar es Salaam tunafanya kazi katika mazingira magumu mno. Tangu tuajiriwe mwanzoni mwa mwezi Novemba 2024, kuna baadhi yetu...
2 Reactions
10 Replies
587 Views
aiseeee Kila mtu mtaani kwangu huku anayehangaika kutuma maombi kwenye mfumo wa uhamiaji naona anakwama ku regester wanaandika IVALID REGSTRATION" what the hell is this???
1 Reactions
1 Replies
496 Views
Naombeni kazi ya uuguzi Mimi ni msichana wa miaka 25 muuguzi ngazi ya degree mwenye valid licensure Nina uzoefu wa kutosha natafuta kazi iwe hospital au kwenye shirika au chuoni kufundisha...
1 Reactions
1 Replies
154 Views
Habar za muda huu Asalem aleykum, Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hata gari ya Uber...
1 Reactions
0 Replies
216 Views
Habar za muda huu Asalem aleykum, Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
NAITWA GERALD NAPATKANA TABATA, NA NI TRAINER WA AEROBICS , YOGA NA WORKOUT KIUJUMLA NAJAMA UKIWA UNAITAJ ANZA IYO BIASHARA NA HUJUI PAKUANZIA ME NIPO TUTAFANYA BEGA KWA BEGA MBAKA ITAPOFANIKIWA...
1 Reactions
0 Replies
144 Views
UTAFUTAPO KAZI. ACHA KUWAZA UTAPATA MSHAHARA KIASI GANI. TAFUTA KAZI KWA SABABU UNATAKA KAZI. NA SI MSHAHARA. ✍️
1 Reactions
13 Replies
325 Views
Ni rafiki yangu anasema Kuna mshikaji wake ametaka aende dodoma Kuna kazi ya ivi vi kampuni vya mikopo mshahara elfu 90 Hela ya kula per day ni elfu 3 Eneo la kulala lipo kwa degree holder iyo...
5 Reactions
30 Replies
988 Views
Natumaini ni wazima wote. Ndugu jamaa na marafiki embu angalieni mnanisaidiaje na hii fani na uzuefu nilionao kwa nguvu zangu nimekwama. EXCAVATOR OPERATOR uzoefu miaka 5 WHEEL LOADER uzoefu...
0 Reactions
4 Replies
226 Views
Wenye Diploma na wenye umri Kati ya 26-30 UHAMIAJI wapeni ruhusa na wao waombe nafasi Kigezo kiwe mwisho 30 Tafadhari .. Wenye mamlaka tafadhari tunaomba mliangalie hili . Siku ya tarehe 29...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimepita leo fb nikakutuna na hawa watu (Global Youth Support Center) wa kusupport vipaj vya watoto wadog kielimu, football, basketball nk Lakn sina uelewa san juu yao jaman wanajamii kwa yeyote...
1 Reactions
0 Replies
96 Views
Summary: The CookFund programme is a five-year initiative (2021-2026) established by the Government of Tanzania (through the Ministry of Energy) in collaboration with the European Union (EU) and...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Back
Top Bottom