Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Kwa utangulizi mfupi nina elimu ngazi ya digrii (ualimu) nje ya taaluma yangu nina experience ya kazi zifuatazo: 1.Kuuza hardware 2. Kulima bustani za mbogamboga 3. Kuchezesha playstation...
1 Reactions
23 Replies
804 Views
LEGAL SERVICES FACILITY JOB OPPORTUNITIES The Legal Services Facility (LSF) a registered non-government Organization (NGO) with Registration No. 00NGO/R2/00011. It is a basket fund created to...
1 Reactions
5 Replies
892 Views
Salam ndugu zangu natanguliza shukrani kwa Muumba wetu. Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 22, Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu ninahitaji mtu mwenye koneksheni ya kazi za...
0 Reactions
7 Replies
400 Views
Nina Bachelor degree of Education in Psychology, Lakini Masomo ya kufundishia nilisoma History na Kiswahili. Cha ajabu kila nikiomba kazi ya ualimu wa History mfumo Unaandika "Failed" Mwenye...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu nimekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote ile. Kwa sasa nipo Mkoani Tanga lakini nipo tayari kufanya kazi kwenye mkoa wowote ule na kazi yoyote ile. Atayeguswa naomba anipe msaada...
0 Reactions
5 Replies
306 Views
Nimekosa mtaji nisaidieni walau nipate part time job ili nipate mtaji nataka nifanye biashara ya kununua na kuuza mchele au hata mkopo kama inawezekana ntaweka bond pikipiki yangu aina ya motomorini
1 Reactions
9 Replies
438 Views
Habarini ndugu zangu¡? Wakuu naombeni mnisaidie kazi yoyote au kibarua angalau nipate chochote au connection ya kazi yoyote ndugu zangu, nipo Geita jinsia~me umri~28 elimu~degree...
5 Reactions
7 Replies
547 Views
Poleni na kazi wakuu naombeni msaada mwenye uelewa juu ya mishahara ya watumishi wa UMMA kwa mwenye Certificate,diploma na mwenye degree kwa wahasibu
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Habari wakuu. Tafadhali naomba msaada kujua mishahara ya ngorongoro conservation area? Naomba kujua hasa NCAA 3, NCAA 4 na NCAA 5. Na je hili jeshi usu huwa inachukua muda gani kuhitimu...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Bint wa miaka 24 yupo Moshi anatafuta kazi yeyote halali Elimu yake Kidato cha Nne Certificate ya tourism Mchapakaz na mchangamfu Anaweza kufanya Kazi yeyote ambayo haidhalilishi utu wake Kama...
4 Reactions
8 Replies
456 Views
Huu mwaka umekua mgumu kwa sisi walimu, tumeteseka sana kisaikolojia, toka January to December, tunasubiri ajira, japo tunajua hatuwez kupata wote ila tunatamani kuona hata hao wachache waajiriwe...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Hello wakuu, Kuna tetesi nimezipata kuwa Utumishi ,hawatawafanyisha usahili walimu, badala yake wame wamechagua selection criteria, nazo ni mwenye GPA kubwa atapata ajira. Na tetesi zinasema...
3 Reactions
68 Replies
3K Views
Anahitajika kijana mwenye ujuzi na elimu ya masuala ya biashara hususani kwenye sekta ya miamala ya benki na simu. MAJUKUMU -Kusimamia ofisi inayojishughulisha na masuala ya huduma za fedha...
2 Reactions
6 Replies
465 Views
Wakubwa habarii za wakati huuu! Huu ni Uzi maalumu juu ya ajira zilizo tangazwa na idara ya uhamiaji hivi karibuni. Binafsi nafanya application lakini sijafanikiwa kufika mwisho, nikisha log in...
0 Reactions
10 Replies
943 Views
Poleni na kazi wakuu, Mimi kijana nahitaji kupata bajaji ya hesabu au mkataba, kwa yeyote anayemiliki au anataka kufanya biashara ya bajaji basi mimi niko tayari. Napatikana Dar.
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Hello JF family. Nakuja mbele zenu ndugu zangu mnisaidie kibarua chochote kile ili nipate kusogeza siku zangu za kuishi hapa duniani bila kuwa tegemezi wala kero kwa wengine. Sihitaji kazi...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Org. Setting and Reporting The Office of the Prosecutor of the United Nations International Residual Mechanism for Criminal Tribunals (“Mechanism”) invites applications for legal internships...
1 Reactions
2 Replies
715 Views
Kwa maoni yangu, wasomi kote duniani wanapaswa kujiajiri kwa kuanzisha au kujiunga na makampuni makubwa, kama vile HP, Apple, Ford, na Benz, ambayo yalianza kwa rasilimali ndogo lakini...
0 Reactions
7 Replies
343 Views
Natumaini mu wazima wa afya. Natafuta kazi ya online. Si kwamba hata ya kufika eneo la kazi siiwezi,bali jukumu limetaiti sana. Kwa sasa nipo na watoto wawili wadogo,na kila kitu kuhusu wao ni...
2 Reactions
8 Replies
394 Views
Habar zenu naomba mnisaidie maswali yanayoulizwa kwenye interview ya Taesa. Shukrani
5 Reactions
102 Replies
13K Views
Back
Top Bottom